Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1

Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi.
IMG_0591.jpeg

Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

Aidha, Rais amehimiza klabu zote kuendelea kutoa burudani kwa Watanzania ndani na nje ya nchi.
IMG_0590.jpeg
 
Leo nimeamini kuwa Admin wa Mama/ au Mama mwenyewe yupo humu JF 24/7.


Mimi ndio wa kwanza kumpongeza Mama kwa ushindi wa leo.🤣



NB: Mama ashawahi kukiri kuwa anatumia JF.
 
Timu ya taifa ya watoto ipo?
Na mtoto unamwingizaje huko?
 
Kwani Chama kimeipongeza Tabora kwa ushindi huo mnono wa kumshenyenta huyu Uto bao 3 kama Balthazar!!???

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂



Wameshenyentwaaaa!!!!
FIFA haitaki siasa kwenye soka
 
Ooyaaaa wazeeeee Pameanza kuchangamkaa bwanaaa!!!!!!
😂😂😂😂😂😂
 
Tulisema mama timu zote ni zake na zikienda kucheza mechi za kimataifa kuna hela za goli la mama zitapewa, sio yanga na simba pekee. Mechi ijayo ya yanga wakibamizwa tena hiyo timu nayo ipongezwe kwa kuibamiza yanga mabingwa wa msimu uliopita
 
Back
Top Bottom