Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu akina Karume ni wàshabiki wa Yanga ndo kaamua kuwàzingua.Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi.
View attachment 3146386
Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Aidha, Rais amehimiza klabu zote kuendelea kutoa burudani kwa Watanzania ndani na nje ya nchi.
View attachment 3146380
Mlisema mtafungwa màlaika wakija, sasa makasiriko yote ya nini wàkati malaika wàmekuja?Haka kaajuza kwa kupenda attention hakajambo. Kanajua wiki nzima.habari ni moja tu ya kufungwa Yanga so kanatia Neno ili na kenyewe kajadiliwe. Mama abdul bwana.
We mlambe miguu Trump huko usitukere wananchi. Mbona Simba ilipodraw na kufungwa na Yanga hajajichekesha?😀😀😀 Mwambie Yanga hatumpendi. Ilisikika sauti siku ya mwananchi.
Timu yangu ni Liverpool tu.Nyie wenyewe ulikuwa na uwezo wa kuwafunga..mkaleta ushkaji
Nina machungu ya kufungwaAngekuwa ni yule jamaa kichwa cha habari kingekuwa "Rais awabubujisha machozi wapenzi wa michezo kwa kuipongeza Tabora United "