Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Unazi tuRais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi.
View attachment 3146386
Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024
Aidha, Rais amehimiza klabu zote kuendelea kutoa burudani kwa Watanzania ndani na nje ya nchi.
View attachment 3146380
FIFA haitaki siasa kwenye soka
Nyie wenyewe ulikuwa na uwezo wa kuwafunga..mkaleta ushkajiYeye mwenyewe ni πΈ
Sasa wataenda kulalamika wapi?Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi.