Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1

Tulisema mama timu zote ni zake na zikienda kucheza mechi za kimataifa kuna hela za goli la mama zitapewa, sio yanga na simba pekee. Mechi ijayo ya yanga wakibamizwa tena hiyo timu nayo ipongezwe kwa kuibamiza yanga mabingwa wa msimu uliopita
 
Sababu akina Karume ni wàshabiki wa Yanga ndo kaamua kuwàzingua.
 
Mlisema mtafungwa màlaika wakija, sasa makasiriko yote ya nini wàkati malaika wàmekuja?
 
Angekuwa ni yule jamaa kichwa cha habari kingekuwa "Rais awabubujisha machozi wapenzi wa michezo kwa kuipongeza Tabora United "
Nina machungu ya kufungwa
Ila nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…