Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Swali fikirishi zawadi hutolewa wakati gani?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewazadia Taifa Stars shilingi milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco, utakaochezwa Ijumaa, Agosti 22, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Fedha hizo zimewasilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, alipoitembelea timu hiyo kambini jijini Dar es Salaam, leo Agosti 20, 2025, na kuwapongeza kwa hatua kubwa waliyofikia pamoja na kuwatakia heri kwa mchezo ujao.
halafu OKTOBA kuna watu wanafikiti ina tofauti wakatiwashajiweka BILIONI 86 za kuharibu uchaguzi!hizi ni rushwa kama rushwa nyingine, kila kitu ni hela tu, hizi hela ni za kwenda kuhonga marefa na kuwapulizia wapinzani wetu dawa za kuwalewesha ili tusicheze kwa ushindani, HII CHAN inachezwa kwa maelekezo tu.
ni kama ile mechi ya RS Berkane ilivyokuwa ya maelekezo
Jambo Kubwa sanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewazadia Taifa Stars shilingi milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco, utakaochezwa Ijumaa, Agosti 22, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Fedha hizo zimewasilishwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, alipoitembelea timu hiyo kambini jijini Dar es Salaam, leo Agosti 20, 2025, na kuwapongeza kwa hatua kubwa waliyofikia pamoja na kuwatakia heri kwa mchezo ujao.
Sengerema Walimu intake mpya fedha za kujikimu hawajapewa tangu march , mbona prioritization kwetu ni mitihani. Sio vibaya kuwapa motisha lakni inaumiza kuona Kuna watu wanaovuja jasho kujenga mustakabali wa jamii Bora itakayojenga Taifa imara kupitia Wizara ya elimu wakisahauliwa Alafu kuna watu ndani ya week 3 wamevuna zaidi ya 200+ml 🥲Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewazadia Taifa Stars shilingi milioni 200 kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Morocco, utakaochezwa Ijumaa, Agosti 22, 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.