Pre GE2025 Rais Samia ajiuzulu na kama hataki kujiuzulu basi asigombee tena, ni janga kwa Taifa kiuchumi na kiustawi wajamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hiyo Mwashambwa ni punguani. Haelewi chochote.

Tatizo kwa sasa siyo upungufu wa sukari bali ni bei kuwa kubwa.

Kuna mahali uliwahi kwenda ukaambiwa sukari hakuna? Kina watu wanataka kutengeneza faida kubwa kwa muda mfupi.
 
kwakweli kama ni muungwana na anapenda amani anatakiwa asiendelee kuingoza nchi, tunamshukuru kwa alipo fikia Mungu ambariki. Awaache ccm waendelee na mchakato wao wa kila siku, yeye hajawahi gombea urais, wala hajawahi pata kura hata moja ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano bali alikabidhiwa kijiti amalizie muhura wa hayati wetu na si vinginevyo..ailinde heshima hii kwa nguvu yake yote. kwenye chama Watoe fomu nyingi ili wateue watu sahihi wa kugombea nafasi ya urais ili nchi yetu iendelee kuongozwa na rais MWANAUME TU. Yeye tunamshukuru na mwisho wake 2025.aende salama huko mapumzikoni
 
We jamaa unajitoaga akili ili kupata teuzi na huambulii kitu, dah hivi unajisikiaje moyoni mwako bro?
 
Hiyo Mwashambwa ni punguani. Haelewi chochote.

Tatizo kwa sasa siyo upungufu wa sukari bali ni bei kuwa kubwa.

Kuna mahali uliwahi kwenda ukaambiwa sukari hakuna? Kina watu wanataka kutengeneza faida kubwa kwa muda mfupi.
Amini nakuambia sukari hata ukiweka Cha juu shilingi 200 Kwa wale wanaoagiza kutoka nje ni faida kubwa mno. Imagine mtu anakuwa yuko tayari kutoa 10B Cha juu
ili apewe kibali cha kuingiza Tani kadhaa za sukari unadhani yeye hiyo faida anayopata ni kiasi gani?
 
Just imagine kipindi hiki ambacho sukari imepanda bei kwa zaidi ya shs 2000 kwa kilo!!
 
Umeandika uchwara tu kama Wabwabwajaji wenzako. Kunywa maji ulale.
 
Mkuu salute sana umezama deep kwa Uk politics
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Matusi hayasaidii,wehu na vichaa kama nyie ambao mnalipwa kutetea mambo ya hovyo na propaganda mnazidi kumchafua mnaemtetea,jifunzeni kwa @pascalmayala
Alfu TPC kuna sukari tani kwa tani lakini haitoki,anajua kwanini
Upigaji usipoachwa maendeleo yatatuja baada ya parapanda kulia
 
Matusi hayasaidii,wehu na vichaa kama nyie ambao mnalipwa kutetea mambo ya hovyo na propaganda mnazidi kumchafua mnaemtetea,jifunzeni kwa @pascalmayala
Mimi nimeweka hoja na kwa takwimu na siyo kutukana matusi. Soma tena uelewe vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…