Pre GE2025 Rais Samia ajiuzulu na kama hataki kujiuzulu basi asigombee tena, ni janga kwa Taifa kiuchumi na kiustawi wajamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Achawehu wako wewe. Kwa hiyo umetoka huko na kichaa chako na kuanza kubandika hivyo vikaratasi vyako.

Suala la sukari serikali ilishalitolea ufafanuzi kupitia wizara ya kilimo ,ikiwa ni pamoja na kuelezea sababu ya upungufu wa sukari hapa nchini pamoja na hatua ambazo serikali imechukua kukabiliana na Changamoto hiyo. Ambapo serikali imeagiza na inaingiza nchini tani za sukari zaidi ya laki moja kuanzia mwezi huu na kuanza kusambazwa nchini.kumbuka kuwa kwa sasa tuna upungufu wa Tani elfu 30 kwa hiyo zikija hizo tani laki moja maana yake suala la upungufu wa sukari litakwisha mara moja.

Fahamu ya kuwa matumizi ya sukari hapa nchini kwa siku ni tani 1500. Kwa hiyo kuingia kwa maelfu ya tani hizo nchini yatafanya bei ya sukari kushuka chini haraka sana na kurejea katika hali yake ya kawaida.

Serikali ya Rais Samia imefanya kazi kubwa sana katika kukabiliana na mfumuko nwa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini. kama unazo akili kichwani mwako na huna matatizo ya kupoteza kumbukumbu basi embu jaribu kuangalia na kufuatilia bei ya kilo moja ya unga ilikuwa shilingi ngapi mwezi kama huu mwaka jana na sasa bei ya unga ni shilingi ngapi sokoni.utakachogundua ni kuwa hali ya bei ya mwaka huu ni nzuri na isiyo na maumivu kwa mwananchi.

Ukienda katika kila eneo unaona namna ambavyo Mheshimiwa Rais na serikali yake wamefanyia Kazi suala la mfumuko wa bei na kuwa katika hali nzuri
Hapo kiharage kimeshakusimama unafikiri ndiyo utateuliwa. Cha kufanya omba msaada juu ya mirathi ya marehemu mumeo nasikia ndugu zake wanataka kukunyang'anya kila kitu hadi watoto.
 
Madaraka matamu hayo yanawezekana kwa wazungu tu sio afrika
 
Yaani inaumiza sana yaani hii miaka mitatu plus hali iko hivi akipewa tena mitano mingine sijui hali itakuwaje.

Huyu bibi tukiondoa uchawa na maslahi binafsi hafai kuongezewa hata sekunde moja baada ya kumaliza muda wake
Inauma sana kuna wapumbavu wanapanga kumwongezea muda
 
Achawehu wako wewe. Kwa hiyo umetoka huko na kichaa chako na kuanza kubandika hivyo vikaratasi vyako.

Suala la sukari serikali ilishalitolea ufafanuzi kupitia wizara ya kilimo ,ikiwa ni pamoja na kuelezea sababu ya upungufu wa sukari hapa nchini pamoja na hatua ambazo serikali imechukua kukabiliana na Changamoto hiyo. Ambapo serikali imeagiza na inaingiza nchini tani za sukari zaidi ya laki moja kuanzia mwezi huu na kuanza kusambazwa nchini.kumbuka kuwa kwa sasa tuna upungufu wa Tani elfu 30 kwa hiyo zikija hizo tani laki moja maana yake suala la upungufu wa sukari litakwisha mara moja.

Fahamu ya kuwa matumizi ya sukari hapa nchini kwa siku ni tani 1500. Kwa hiyo kuingia kwa maelfu ya tani hizo nchini yatafanya bei ya sukari kushuka chini haraka sana na kurejea katika hali yake ya kawaida.

Serikali ya Rais Samia imefanya kazi kubwa sana katika kukabiliana na mfumuko nwa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini. kama unazo akili kichwani mwako na huna matatizo ya kupoteza kumbukumbu basi embu jaribu kuangalia na kufuatilia bei ya kilo moja ya unga ilikuwa shilingi ngapi mwezi kama huu mwaka jana na sasa bei ya unga ni shilingi ngapi sokoni.utakachogundua ni kuwa hali ya bei ya mwaka huu ni nzuri na isiyo na maumivu kwa mwananchi.

Ukienda katika kila eneo unaona namna ambavyo Mheshimiwa Rais na serikali yake wamefanyia Kazi suala la mfumuko wa bei na kuwa katika hali nzuri
Umesahau kuandika namba ya simu mkuu😁
 
Unawaita watu hawana akili ila wewe ni kiazi sana. Hili suala la sukari ni la kutengenezwa ambalo mmelitengeneza wenyewe.

Kuna watu waliomba kuruhusiwa kuingiza sukari ni zaidi ya miezi minne Sasa na wakanyimwa Vibali. Binafsi namjua mfanya biashara aliomba kibali cha kuingiza Tani laki 2 akakosa Vibali.

Kwa taarifa yako Hadi hivyo Vibali vinavyotolewa watu wamevifanya mtaji bila kuwa na pesa hupati kibali. Na inasemekana Abdul ndio amepata pa kupigia dili. Ili update kibali unamuona Abdul kwanza.

Nimalize Kwa kusema sukari kutoka Brazili ni tsh1450 CIF ikifika mtaani watu wanafnaya yao.
Huyo jamaa labda humjui, kazi yake kuisifia CCM kwenye kila post yake na huwa anaacha namba za simu kwa chini. Leo nahisi kasahau nmemkumbusha lakn.
 
😂😂😂 Kumbe ndio huyo! Sikuitikia maanani ID yake
 
Kwenye uchumi wowote hupimwa kwa mfumko wa bei(inflation rate) wa bidhaa sokoni, mfumuko wa bei unapozidi zaidi ya 50% uchumi unakua hatarini.

Kwa hali ya nchi hivi Sasa ilivyo basi kwa nchi za wenzetu na watu walio serious na ustawi wa jamii na uchumi basi serikali kuu ilipaswa kuachia ngazi, aidha kwa rais kuvunja Baraza la mawaziri na kusuka upya ama Rais mwenyewe kujiuzulu.

Yaliwahi kutokea haya pale Uingereza pindi nchi ilipoyumba kiuchumi kwa mfumuko mkubwa wa bidhaa baada ya suala la BREXIT, hali iliyopelekea Waziri Mkuu Boris kujiuzulu na Mawaziri wakuu wawili wakajiuzulu ndani ya mwaka mmoja na nusu na ikapelekea Uingereza kua na Mawaziri wakuu watatu ndani ya miaka miwili.

Hapa kwetu kila kitu kwa sasa bei ghali, mfumuko wa bei ni maradufu,kuanzia daladala, mabasi ya mikoani, vifurushi vya simu (uhuni zaidi huku package zimepunguzwa unavhopata ila unalipia hela ile ile automatically ni mfumuko wa bei kwani unapata MB 500 kwa shs 1000 ilihali zamani ilikua unapata 1GB).

Tunapoongea hapa sasa hivi kununua sukari Tanzania hii ni anasa, bei ya sukari kilo moja unapata bia 3 na chenji inabaki, mfuko mmoja wa Cement kutoka Tsh. 13,000 mpaka Tsh. 17,000 mpaka 23,000 mikoa ya Kanda ya ziwa.

Serikali inatazama tu,waziri anasingizia mafuriko ya mvua,miaka yote mvua inanyesha na mfumuko mkubwa hivyo hakuna,kama sio wizi ni nini?!!

Mvua zinanyesha kila mahali, bado umeme ni wa mgao ilihali tunaambiwa mabwawa hayana maji- kama sio wizi ni nini? Yote haya ili watu wale hela za umma kupitia mitambo ya SONGAS, IPTL na mitambo ya gesi ndio maana umeme wa mabwawa ambayo 100% ni ya serikali wanahujumu kwani hakuna mabilioni ya kugawana.

Hali ya uchumi kwa Watanzania inahujumiwa na serikali? Kama Rais Samia hanufaiki na hafurahii haya kwa nini hatokezi kulisimammia?

Enzi za Magufuli Sukari iliadimika kwa wiki kama 2 na bei ikafika shs 4000-5000 na mara moja Magufuli alitoa tamkoa kua atafuta vibali vyote vya wauza sukari kama hawatoshusha bei, bei ilishuka na ikauzwa Tsh. 2800 mpaka alipoingia madarakani Rais Samia ambapo bei imekua maumivu kwa Watanzania.

Kuna watu wanasema Samia hana uchungu na Tanganyika, ndio maana hajali, kwani Zanzibar sukari kilo moja ni Tsh. 2000-2500 ilihali bara huku 5000-6000. Zanzibar hakuna mgao wa umeme, huku Tanganyika ambapo kunazalishwa umeme na kupeleka Zanzibar umeme mgao mtupu.

Rais Samia hafai kuongoza tena, anawaza uchaguzi tu na ya kubaki madarakani na ndio maana tumemsikia akitoa tamko Majeshi yajiandae.

Viongozi bora huwaza current and next generation, viongozi wabovu huwaza kufanya miradi ya corruption na how to rig next election!
Takataka 🚮🚮🚮

Kuna Nchi Ina Uchumi imara kuishinda Tanzania hapa Afrika kweli?

Kuna Nchi Ina maisha nafuu kuzidi Tanzania Kwa Sasa?

Ni hivi usijisumbue Samia ni Rais Hadi 2030 kama unaleta mzaha karibu kuleta fyoto uone.
 
Achawehu wako wewe. Kwa hiyo umetoka huko na kichaa chako na kuanza kubandika hivyo vikaratasi vyako.

Suala la sukari serikali ilishalitolea ufafanuzi kupitia wizara ya kilimo ,ikiwa ni pamoja na kuelezea sababu ya upungufu wa sukari hapa nchini pamoja na hatua ambazo serikali imechukua kukabiliana na Changamoto hiyo. Ambapo serikali imeagiza na inaingiza nchini tani za sukari zaidi ya laki moja kuanzia mwezi huu na kuanza kusambazwa nchini.kumbuka kuwa kwa sasa tuna upungufu wa Tani elfu 30 kwa hiyo zikija hizo tani laki moja maana yake suala la upungufu wa sukari litakwisha mara moja.

Fahamu ya kuwa matumizi ya sukari hapa nchini kwa siku ni tani 1500. Kwa hiyo kuingia kwa maelfu ya tani hizo nchini yatafanya bei ya sukari kushuka chini haraka sana na kurejea katika hali yake ya kawaida.

Serikali ya Rais Samia imefanya kazi kubwa sana katika kukabiliana na mfumuko nwa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini. kama unazo akili kichwani mwako na huna matatizo ya kupoteza kumbukumbu basi embu jaribu kuangalia na kufuatilia bei ya kilo moja ya unga ilikuwa shilingi ngapi mwezi kama huu mwaka jana na sasa bei ya unga ni shilingi ngapi sokoni.utakachogundua ni kuwa hali ya bei ya mwaka huu ni nzuri na isiyo na maumivu kwa mwananchi.

Ukienda katika kila eneo unaona namna ambavyo Mheshimiwa Rais na serikali yake wamefanyia Kazi suala la mfumuko wa bei na kuwa katika hali nzuri
Ujinga na upumbavu ndio unao kusumbua.
 
Takataka 🚮🚮🚮

Kuna Nchi Ina Uchumi imara kuishinda Tanzania hapa Afrika kweli?

Kuna Nchi Ina maisha nafuu kuzidi Tanzania Kwa Sasa?

Ni hivi usijisumbue Samia ni Rais Hadi 2030 kama unaleta mzaha karibu kuleta fyoto uone.
Wacha kuandika kwa kutumia masaburi,rudia kusoma utangulizi wako then ufute ujinga ulioandika!!
 
Viongozi bora huwaza current and next generation, viongozi wabovu huwaza kufanya miradi ya corruption na how to rig next election!
Naunga mkono hoja ya hii para ya mwisho, ila naomba kutofautiana na wewe, kuwa hoja hii haimsadifu huyu Mama!.
P
 
Mwambieni anifanye mimi niwe Waziri wa Fedha; uchumi utanyooka kama rula.
 
Kwenye uchumi wowote hupimwa kwa mfumko wa bei(inflation rate) wa bidhaa sokoni, mfumuko wa bei unapozidi zaidi ya 50% uchumi unakua hatarini.

Kwa hali ya nchi hivi Sasa ilivyo basi kwa nchi za wenzetu na watu walio serious na ustawi wa jamii na uchumi basi serikali kuu ilipaswa kuachia ngazi, aidha kwa rais kuvunja Baraza la mawaziri na kusuka upya ama Rais mwenyewe kujiuzulu.

Yaliwahi kutokea haya pale Uingereza pindi nchi ilipoyumba kiuchumi kwa mfumuko mkubwa wa bidhaa baada ya suala la BREXIT, hali iliyopelekea Waziri Mkuu Boris kujiuzulu na Mawaziri wakuu wawili wakajiuzulu ndani ya mwaka mmoja na nusu na ikapelekea Uingereza kua na Mawaziri wakuu watatu ndani ya miaka miwili.

Hapa kwetu kila kitu kwa sasa bei ghali, mfumuko wa bei ni maradufu,kuanzia daladala, mabasi ya mikoani, vifurushi vya simu (uhuni zaidi huku package zimepunguzwa unavhopata ila unalipia hela ile ile automatically ni mfumuko wa bei kwani unapata MB 500 kwa shs 1000 ilihali zamani ilikua unapata 1GB).

Tunapoongea hapa sasa hivi kununua sukari Tanzania hii ni anasa, bei ya sukari kilo moja unapata bia 3 na chenji inabaki, mfuko mmoja wa Cement kutoka Tsh. 13,000 mpaka Tsh. 17,000 mpaka 23,000 mikoa ya Kanda ya ziwa.

Serikali inatazama tu,waziri anasingizia mafuriko ya mvua,miaka yote mvua inanyesha na mfumuko mkubwa hivyo hakuna,kama sio wizi ni nini?!!

Mvua zinanyesha kila mahali, bado umeme ni wa mgao ilihali tunaambiwa mabwawa hayana maji- kama sio wizi ni nini? Yote haya ili watu wale hela za umma kupitia mitambo ya SONGAS, IPTL na mitambo ya gesi ndio maana umeme wa mabwawa ambayo 100% ni ya serikali wanahujumu kwani hakuna mabilioni ya kugawana.

Hali ya uchumi kwa Watanzania inahujumiwa na serikali? Kama Rais Samia hanufaiki na hafurahii haya kwa nini hatokezi kulisimammia?

Enzi za Magufuli Sukari iliadimika kwa wiki kama 2 na bei ikafika shs 4000-5000 na mara moja Magufuli alitoa tamkoa kua atafuta vibali vyote vya wauza sukari kama hawatoshusha bei, bei ilishuka na ikauzwa Tsh. 2800 mpaka alipoingia madarakani Rais Samia ambapo bei imekua maumivu kwa Watanzania.

Kuna watu wanasema Samia hana uchungu na Tanganyika, ndio maana hajali, kwani Zanzibar sukari kilo moja ni Tsh. 2000-2500 ilihali bara huku 5000-6000. Zanzibar hakuna mgao wa umeme, huku Tanganyika ambapo kunazalishwa umeme na kupeleka Zanzibar umeme mgao mtupu.

Rais Samia hafai kuongoza tena, anawaza uchaguzi tu na ya kubaki madarakani na ndio maana tumemsikia akitoa tamko Majeshi yajiandae.

Viongozi bora huwaza current and next generation, viongozi wabovu huwaza kufanya miradi ya corruption na how to rig next election!
Viongozi bora huwaza current and next generation, viongozi wabovu huwaza kufanya miradi ya corruption na how to rig next election![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achawehu wako wewe. Kwa hiyo umetoka huko na kichaa chako na kuanza kubandika hivyo vikaratasi vyako.

Suala la sukari serikali ilishalitolea ufafanuzi kupitia wizara ya kilimo ,ikiwa ni pamoja na kuelezea sababu ya upungufu wa sukari hapa nchini pamoja na hatua ambazo serikali imechukua kukabiliana na Changamoto hiyo. Ambapo serikali imeagiza na inaingiza nchini tani za sukari zaidi ya laki moja kuanzia mwezi huu na kuanza kusambazwa nchini.kumbuka kuwa kwa sasa tuna upungufu wa Tani elfu 30 kwa hiyo zikija hizo tani laki moja maana yake suala la upungufu wa sukari litakwisha mara moja.

Fahamu ya kuwa matumizi ya sukari hapa nchini kwa siku ni tani 1500. Kwa hiyo kuingia kwa maelfu ya tani hizo nchini yatafanya bei ya sukari kushuka chini haraka sana na kurejea katika hali yake ya kawaida.

Serikali ya Rais Samia imefanya kazi kubwa sana katika kukabiliana na mfumuko nwa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini. kama unazo akili kichwani mwako na huna matatizo ya kupoteza kumbukumbu basi embu jaribu kuangalia na kufuatilia bei ya kilo moja ya unga ilikuwa shilingi ngapi mwezi kama huu mwaka jana na sasa bei ya unga ni shilingi ngapi sokoni.utakachogundua ni kuwa hali ya bei ya mwaka huu ni nzuri na isiyo na maumivu kwa mwananchi.

Ukienda katika kila eneo unaona namna ambavyo Mheshimiwa Rais na serikali yake wamefanyia Kazi suala la mfumuko wa bei na kuwa katika hali nzuri
Unasikitiaha sana wewe mtu ivi Ni lini Sisi tutakuwa serious,hii nchi ina wapumbavu wengi sana
 
Kwenye uchumi wowote hupimwa kwa mfumko wa bei(inflation rate) wa bidhaa sokoni, mfumuko wa bei unapozidi zaidi ya 50% uchumi unakua hatarini.

Kwa hali ya nchi hivi Sasa ilivyo basi kwa nchi za wenzetu na watu walio serious na ustawi wa jamii na uchumi basi serikali kuu ilipaswa kuachia ngazi, aidha kwa rais kuvunja Baraza la mawaziri na kusuka upya ama Rais mwenyewe kujiuzulu.

Yaliwahi kutokea haya pale Uingereza pindi nchi ilipoyumba kiuchumi kwa mfumuko mkubwa wa bidhaa baada ya suala la BREXIT, hali iliyopelekea Waziri Mkuu Boris kujiuzulu na Mawaziri wakuu wawili wakajiuzulu ndani ya mwaka mmoja na nusu na ikapelekea Uingereza kua na Mawaziri wakuu watatu ndani ya miaka miwili.

Hapa kwetu kila kitu kwa sasa bei ghali, mfumuko wa bei ni maradufu,kuanzia daladala, mabasi ya mikoani, vifurushi vya simu (uhuni zaidi huku package zimepunguzwa unavhopata ila unalipia hela ile ile automatically ni mfumuko wa bei kwani unapata MB 500 kwa shs 1000 ilihali zamani ilikua unapata 1GB).

Tunapoongea hapa sasa hivi kununua sukari Tanzania hii ni anasa, bei ya sukari kilo moja unapata bia 3 na chenji inabaki, mfuko mmoja wa Cement kutoka Tsh. 13,000 mpaka Tsh. 17,000 mpaka 23,000 mikoa ya Kanda ya ziwa.

Serikali inatazama tu,waziri anasingizia mafuriko ya mvua,miaka yote mvua inanyesha na mfumuko mkubwa hivyo hakuna,kama sio wizi ni nini?!!

Mvua zinanyesha kila mahali, bado umeme ni wa mgao ilihali tunaambiwa mabwawa hayana maji- kama sio wizi ni nini? Yote haya ili watu wale hela za umma kupitia mitambo ya SONGAS, IPTL na mitambo ya gesi ndio maana umeme wa mabwawa ambayo 100% ni ya serikali wanahujumu kwani hakuna mabilioni ya kugawana.

Hali ya uchumi kwa Watanzania inahujumiwa na serikali? Kama Rais Samia hanufaiki na hafurahii haya kwa nini hatokezi kulisimammia?

Enzi za Magufuli Sukari iliadimika kwa wiki kama 2 na bei ikafika shs 4000-5000 na mara moja Magufuli alitoa tamkoa kua atafuta vibali vyote vya wauza sukari kama hawatoshusha bei, bei ilishuka na ikauzwa Tsh. 2800 mpaka alipoingia madarakani Rais Samia ambapo bei imekua maumivu kwa Watanzania.

Kuna watu wanasema Samia hana uchungu na Tanganyika, ndio maana hajali, kwani Zanzibar sukari kilo moja ni Tsh. 2000-2500 ilihali bara huku 5000-6000. Zanzibar hakuna mgao wa umeme, huku Tanganyika ambapo kunazalishwa umeme na kupeleka Zanzibar umeme mgao mtupu.

Rais Samia hafai kuongoza tena, anawaza uchaguzi tu na ya kubaki madarakani na ndio maana tumemsikia akitoa tamko Majeshi yajiandae.

Viongozi bora huwaza current and next generation, viongozi wabovu huwaza kufanya miradi ya corruption na how to rig next election!
Nakuunga mkono huyu mama ni janga la kitaifa, itafutwe namna ya kumpiga chini akapumzike tuu.
 
Back
Top Bottom