Pre GE2025 Rais Samia ajiuzulu na kama hataki kujiuzulu basi asigombee tena, ni janga kwa Taifa kiuchumi na kiustawi wajamii!

Pre GE2025 Rais Samia ajiuzulu na kama hataki kujiuzulu basi asigombee tena, ni janga kwa Taifa kiuchumi na kiustawi wajamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sukari inafanyiwa hujuma na serikali ipo? aisee.....
 
Kwa huu mgao wa umeme, bei ya sukari, vifaa vya ujenzi na nauli uchaguzi ujao Nyamagana niko tayari kuchagua jiwe kama upinzani hawataweka wagombea.
 
Sukari inafanyiwa hujuma na serikali ipo? aisee.....
Anaetoa vibari vya sukari si serikali mwenyewe?!! Waziri wa viwanea na biashara si yupo?!! Kwa ufupi serikali ndio inawapora Watanzania
 
Dawa ni kutafuta mbadala wa sukari.
Najua nitapingwa sana lakini huo ndio ukweli.
Ni vyema pia wataalamu wa Afya na Wachumi watakutueleza iwapo sukari hii ya madukani ikitoweka nini hatma yake.
 
Back
Top Bottom