Pre GE2025 Rais Samia ajiuzulu na kama hataki kujiuzulu basi asigombee tena, ni janga kwa Taifa kiuchumi na kiustawi wajamii!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo kiharage kimeshakusimama unafikiri ndiyo utateuliwa. Cha kufanya omba msaada juu ya mirathi ya marehemu mumeo nasikia ndugu zake wanataka kukunyang'anya kila kitu hadi watoto.
 
Madaraka matamu hayo yanawezekana kwa wazungu tu sio afrika
 
Yaani inaumiza sana yaani hii miaka mitatu plus hali iko hivi akipewa tena mitano mingine sijui hali itakuwaje.

Huyu bibi tukiondoa uchawa na maslahi binafsi hafai kuongezewa hata sekunde moja baada ya kumaliza muda wake
Inauma sana kuna wapumbavu wanapanga kumwongezea muda
 
Umesahau kuandika namba ya simu mkuu😁
 
Huyo jamaa labda humjui, kazi yake kuisifia CCM kwenye kila post yake na huwa anaacha namba za simu kwa chini. Leo nahisi kasahau nmemkumbusha lakn.
 
Huyo jamaa labda humjui, kazi yake kuisifia CCM kwenye kila post yake na huwa anaacha namba za simu kwa chini. Leo nahisi kasahau nmemkumbusha lakn.
😂😂😂 Kumbe ndio huyo! Sikuitikia maanani ID yake
 
Takataka 🚮🚮🚮

Kuna Nchi Ina Uchumi imara kuishinda Tanzania hapa Afrika kweli?

Kuna Nchi Ina maisha nafuu kuzidi Tanzania Kwa Sasa?

Ni hivi usijisumbue Samia ni Rais Hadi 2030 kama unaleta mzaha karibu kuleta fyoto uone.
 
Ujinga na upumbavu ndio unao kusumbua.
 
Takataka 🚮🚮🚮

Kuna Nchi Ina Uchumi imara kuishinda Tanzania hapa Afrika kweli?

Kuna Nchi Ina maisha nafuu kuzidi Tanzania Kwa Sasa?

Ni hivi usijisumbue Samia ni Rais Hadi 2030 kama unaleta mzaha karibu kuleta fyoto uone.
Wacha kuandika kwa kutumia masaburi,rudia kusoma utangulizi wako then ufute ujinga ulioandika!!
 
Viongozi bora huwaza current and next generation, viongozi wabovu huwaza kufanya miradi ya corruption na how to rig next election!
Naunga mkono hoja ya hii para ya mwisho, ila naomba kutofautiana na wewe, kuwa hoja hii haimsadifu huyu Mama!.
P
 
Mwambieni anifanye mimi niwe Waziri wa Fedha; uchumi utanyooka kama rula.
 
Viongozi bora huwaza current and next generation, viongozi wabovu huwaza kufanya miradi ya corruption na how to rig next election![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasikitiaha sana wewe mtu ivi Ni lini Sisi tutakuwa serious,hii nchi ina wapumbavu wengi sana
 
Nakuunga mkono huyu mama ni janga la kitaifa, itafutwe namna ya kumpiga chini akapumzike tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…