Katika mambo ninayo mlaumu Mwalimu Nyerere Mpaka Leo ni;Kutuletea CCM ambayo mfumo wake kandamizi umegeuka kuwa ukoloni .Kitu kingine ni kutuingiza kwenye vita iliyokuwa hatuhusu ya Uganda,kisa tu kumrudisha madarakani rafiki yake Obote aliyepinduliwa na Amini.Toka vita ya uganda Uchumi wa Tanzania umepita kwenye wakati mgumu sana.
Vita yenyewe haikuwa na tija sababu Obote mwenyewe hakubaki madarakani,alipinduliwa tena baada ya muda mfupi!