Rais Samia akemea suala la siri za Serikali kuvuja mitandaoni

Am all for transparency kama kuna makona kona yanafanyika kwa pesa zetu sisi watoa TOZO..., basi long live Whistle Blowers
 
Yeye mwenyewe hakutakiwa kukemea hadharani maana anatufanya tuamini madudu tunayo yaona niyakweli
 
Kuna ubuyu kavujisha mwenyewe kwamba kakopa ili alipe mikopo iliyoiva.......sasa mimi mkazi wa hapa nyambitilwa sidhani kama nahitaji kujua siri zenu za kukopa na kulipa madeni yaliyokwiva. Labda siri ambayo ni muhimu kwangu ni kujua ni lini tunapigwa mnada ili nipate upenyo wa kutorokea kwa jirani......
 

Kikubwa afungie chombo vyote vya habari na mitandao anayosema

kuwa serikali ipo kwa ajili ya watubibie
 
Haliwezi kukoma mpaka wakiri wenyewe ndio ni chanzo cha uvujaji huo na halijaanza leo
 
Duh nipeni japo siri moja tu na mimi nitambe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…