Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwani wale policcm wenu wiki nzima yote hii walikuwa wanafanya nini barabarani?Umeandamana wapi? Nani aliyeandamana leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wale policcm wenu wiki nzima yote hii walikuwa wanafanya nini barabarani?Umeandamana wapi? Nani aliyeandamana leo?
Wanaimarisha ulinzi wa watanzania na mali zao.Kwani wale policcm wenu wiki nzima yote hii walikuwa wanafanya nini barabarani?
Nimefurahi sanaHukububujikwa na machozi mkuu?
Hakububujikwa na machoziii ??Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Rais wetu,Rais Makini,hodari,shupavu,imara, madhubutu na mwenye maono Makubwa.Rais Mwenye utulivu na misimamo madhubuti.Rais Mwenye akili na upeo wa kiuongozi.
Hanaga Makuu wala majivuno Mama yetu,hanaga kiburi wala dharau Mama yetu.yeye ni mtu wa unyenyekevu, huruma, upendo,staha, Busara, hekima,utu, uungwana na ukarimu wa hali ya juu sana. Ndio Sababu tunaendelea kuishi kwa pamoja kama Taifa huku tukipiga hatua za maendeleo kwa kasi .
Mama yetu hana ubaguzi wala udini wala ukabila wala ukanda .yeye ni mtu wa watu wote na mlezi wa watu wote. Ndio maana amefanikiwa kukaa mezani na kila mtu na kila kundi na kila dhehebu na kila dini na kila watu kufanya mazungumzo na kumsikiliza kila mtu kwa unyenyekevu,upole na usikivu wa hali ya juu sana.
Ukimchukia huyu Mama basi utakuwa na chuki zako tu binafsi kwa kusumbuliwa na Udini au ukabila au ukanda au jinsia au roho mbaya tu.
Kwa hakika Mama ni zawadi kutoka kwa Mungu Mwenyewe tunayopaswa kujivunia na kuitunza kwa wivu mkubwa sanaView attachment 3104396View attachment 3104397
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Alikuwa mwenye tabasamu na furaha sana Mama yetuHakububujikwa na machoziii ??
Acha utoto wako weweila rais kuwa mwanamke haiji kabisa aisee