Rais Samia akifuatilia kwa umakini Bajeti Kuu ya Serikali 2025/26 ikisomwa Bungeni Leo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa akifuatilia Bajeti hiyo kwa njia ya Runinga kupitia Televisheni ya Taifa (TBC1) Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2025. Bajeti Kuu ya Serikali imesomwa katika Bunge la 12, mkutano wa 19 kikao cha 45 Jijini Dodoma.

Screenshot_2025_0612_175434.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2025_0612_175413.jpg
    Screenshot_2025_0612_175413.jpg
    132.1 KB · Views: 42
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2026 Ikulu Chamwino, tarehe 12 Juni, 2025.
 
Attachments

  • VID-20250613-WA0141.mp4
    8 MB
Jana Naona hukuwa na bando. Thread ndipo imejipost
 
We ulikuwa hapa ukifatilia miamala ya cCm uliyotumiwa kuhusu kuleta propaganda.
IMG_1656.jpeg
 
Hamna kitu apo mtu ufeli mtihani rahisi kabisa wa form four manake wewe ni iron girl ulipaswa kuwa msusi 🤣🤣 bahati nasibu lahaula unacheo alafu ghafla uelewe bajeti??... Tena yenye deni trilioni 100+ Toka tri.55 uliyoikuta!!! Embu tusitaniane hapa. NO WAY ATA MNITEKE NASEMA NOOOO WAYYYY.
Hapo muulize swali rahisi la hesabu/math uone🤣🤣🤣 lazima alipataga F ya math🤣🤣🤣. Si kwaubaya watekaji,NASEMA tuu facts😁😁
 
Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa akifuatilia Bajeti hiyo kwa njia ya Runinga kupitia Televisheni ya Taifa (TBC1) Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2025. Bajeti Kuu ya Serikali imesomwa katika Bunge la 12, mkutano wa 19 kikao cha 45 Jijini Dodoma.

View attachment 3365969
Hivi wazanzibar wanalipa kodi?
 
No reforms no election.
Hatukumchagua
 
Hivi wazanzibar wanalipa kodi?
Wakati wana bunge lao wakijiita baraza la wawakilishi humo hakuna mtanganyika hata mmoja.

Na bunge lao wamepitisha bajeti ya trilioni 6.

Mikopo inakopwa kwa mwamvuli wa Tanzania ila deni analipa Tanganyika.

Bandari ya Tanganyika imeuzwa na ya Zanzibar ipo.

Shirika la ndege la Tanganyika limejifia , Zanzibar wanaenda kuzindua lao.
 
Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa akifuatilia Bajeti hiyo kwa njia ya Runinga kupitia Televisheni ya Taifa (TBC1) Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2025. Bajeti Kuu ya Serikali imesomwa katika Bunge la 12, mkutano wa 19 kikao cha 45 Jijini Dodoma.

View attachment 3365969
Utafikri yuko serious mno kumbe hamnamo!
 
Back
Top Bottom