Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Hiyo ni max pro Hi definitionHiyo ni content au maudhui?
Hivi wazanzibar wanalipa kodi?Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa akifuatilia Bajeti hiyo kwa njia ya Runinga kupitia Televisheni ya Taifa (TBC1) Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2025. Bajeti Kuu ya Serikali imesomwa katika Bunge la 12, mkutano wa 19 kikao cha 45 Jijini Dodoma.
View attachment 3365969
No reforms no election.Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa akifuatilia Bajeti hiyo kwa njia ya Runinga kupitia Televisheni ya Taifa (TBC1) Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2025. Bajeti Kuu ya Serikali imesomwa katika Bunge la 12, mkutano wa 19 kikao cha 45 Jijini Dodoma.
View attachment 3365969
Wakati wana bunge lao wakijiita baraza la wawakilishi humo hakuna mtanganyika hata mmoja.Hivi wazanzibar wanalipa kodi?
Utafikri yuko serious mno kumbe hamnamo!Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2025/26 iliyokuwa ikisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Rais Mhe. Dkt. Samia alikuwa akifuatilia Bajeti hiyo kwa njia ya Runinga kupitia Televisheni ya Taifa (TBC1) Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2025. Bajeti Kuu ya Serikali imesomwa katika Bunge la 12, mkutano wa 19 kikao cha 45 Jijini Dodoma.
View attachment 3365969