Halali wala hapoi, hadi asafishike😛
Kule tume ya usafishaji, huko kongamano la mateja, pale la mabodaboda, kwingine la wamamalishe, huku chawa, pale pembeni dua la kuombea tume ya usafishaji, kule mikopo ya content creaters, pale pembeni bank ya vijana kwa chinova mikopo ya mama bilioni 200, miss world, goli la mamaduro nk,
Kweli anapambana kuosha damu, lakini kenge hatujamuelewa bado pamoja na efforts zoooote!