Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali AICC Arusha Julai 13, 2026

Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali AICC Arusha Julai 13, 2026

Opportunity kama hizo ndio majukwaa ya kujisafisha ila naamini atalitumia vibaya na kitakachosemwa hapo kitaharibu tena Hali ya hewa naamini wanaomzunguka wanamshauri vibaya ili aanguke. Na yeye hajui maskini ya Mungu. Wao wanachukia wanaharakati wanaowaambia ukweli pamoja na chadema kumbe wabaya wako ndani yao.
 
Back
Top Bottom