Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kila la kheri Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na amir jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania.Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026.
Itakuwa mwanaharakati wewe uliopo USAKilaza Leo anaenda kuchafua Hali ya hewa na speech zake za kipumbavu
Awafundishe tofauti ya picha na video maana Katuga aliwatia aibu kwenye kesi ya Lissu.Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026.
Kauri ya mkutano ni "HAKI.....", sasa ameikubali?Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026.
Mimi ni mkulima WA korosho hapa masasi-mtwara sina uhusiano na mambo ya wanarahakatiItakuwa mwanaharakati wewe uliopo USA