Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 753
- 1,699
Ukitaka kujua tunawakilishwa na wachumia tumbo waliojaa unga kichwani, subiri Rais Samia akiamka vizuri na kukemea vitendo vya utekaji na kuagiza vyombo vya usalama vinawakamata wanaotekeleza vitendo hivyo uone jinsi sinema itakavyobadilika.
Kila mbunge, waziri, kiongozi wa CCM, na chawa watasema mama ana maono, mama ana uchungu sana na wananchi wake kupitia vitendo kama hivi, mama anachukua hatua, hadi tutaona na tisheti za wapinga utekaji wa mama 🤣🤣🤣
Hivi ni ugonjwa gani huu mpaka watu wanakuwa kama mazezeta? Au kenge huwa hawana akili kabisa?