PreGE2025 Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Huyu Mama anajitahidi Speech, huchoki kumsikiliza
 
Kuna yale mabomu mazito ya marekani yanayopenya mita za kutosha ardhini, the massive ordnance penetrator....moja tu lingetosha kuokoa taifa/vizazi vijavyo
 
Kwanini mezani hakuna maji ya kunywa? Mbona sio desturi Rais kuteseka na sauti... nini shida mnaojua?
 
Mod unganisha nyuzi zote za hotuba ya leo ziwe hapa
 
Au mimi ndiye sijui wapi pa kuipata?
Nilitaka kuwauliza naona leo mama hasomi popote ni kama hotuba inatoka kichwani moja kwa moja. Haya ni maendeleo
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…