PreGE2025 Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
sema lisu ana influence sana kesi yake akati iko live ilikuwa na 13k+ views(millard ayo) w ila hapa kwa bi mkubwa naona 300+ watching (millard ayo) ,channel ya azam ndo ina 6k+
Vilaza wa ccm hawana bando
 
Au mimi ndiye sijui wapi pa kuipata?
Nilitaka kuwauliza naona leo mama hasomi popote ni kama hotuba inatoka kichwani moja kwa moja. Haya ni maendeleo
Anatumia teknolojia za kisasa kusoma ili wewe mtazamaji udhani kwamba desa linatoka kichwani
 
Hotuba, hotuba. Hotuba ni ndefu sana mpaka inachosha
 
Ilikuwa haji saa hiZi mmehamisha goli kwamba hakuna maj?! Khaa?
 
Kwani hiyo hotuba hakuipitia? Naona anageuza shingo hadi unashtukia na sijui kama anaona vizuri pale anaposoma
 
Huyu Idd Amini Mama ni mpuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…