Rais Samia akimpokea rasmi Rais El Sisi Ikulu, Dar es Salaam leo 18 Julai, 2026

Siku hz Tz ina marafiki ambao hata hawaeleweki duniani, tunafaidika vp na ujio wa huyu rais wa Misri??

Ziara ya samuya kule Russia nchi yetu ilifaidika vp na ziara ile sambamba na kwenda na lundo la watu wa kwenda kumpigia makofi??
 
Sawa. Subirini CDM iingie madarakani mtapokea wageni uwapendao
 
Back
Top Bottom