GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kunywa tu mkuu. Nakuunga mkono.@samia_suluhu_hassan: Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu Ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na wananchi na kuhusu kazi, na namna zaidi ya Shilingi Trilioni 3.1 toka serikalini kuja Mkoa wa Tanga zilivyobadili maisha yao kupitia miradi mbalimbali katika kipindi cha miaka minne.
Nawe pia HATER.Mungu akusaidie sana
Hasa ukivila kote kote mbele na nyuma.😂😂 vitumbua vya Tanga vimenona, hatari sana!
View attachment 3251599
Na ukivila unatakiwa usiwe na haraka ili vikupe raha.Kula kitumbua asubuhi muhimu sana..........
Du vyote hivi??,,si atavimbiwa?😂😂 vitumbua vya Tanga vimenona, hatari sana!
View attachment 3251599
Akili hizi! Ovyo kabisa.Hasa ukivila kote kote mbele na nyuma.