Rais Samia akipokea tuzo ambayo Tanzania imeshinda kuwa eneo bora la utalii wa safari Duniani

Rais Samia akipokea tuzo ambayo Tanzania imeshinda kuwa eneo bora la utalii wa safari Duniani

Hiyo tuzo imetolewa kimkakati hili nje waone Tanzania kupo sawa inaitwa Sportwash
Hiyo si tuzo. Ni utapeli wa wawili hawa. Ni sawa na hizo shahada zake feki. Wanajitekenya na kujikesha wenyewe. Samuya Sulubu ni mchafu kuliko kitimoto. Hata ukitumia tindikali, huwezi kumsafisha. Hawa wapigaji wamelipwa fedha na huyu mtapataji wasafishe uchafu wake.
 
Mbuga zilizowekwa naturally zinashinda la anaebeba ni Rais, Hii nchi 😁
1767656678198.png
 
Tuzo za Kununua
According to that newspaper, Madeira paid €80,000 to host the World Travel Awards ceremony in 2019 (see below). The news was advanced today, as the nominations for another European edition of the World Travel Awards are announced, to be followed by the world awards.

According to the newspaper, last year’s winners and runners-up are automatically nominated, the rest pay €583 (or £500) to enter the next race for the self-styled ‘Tourism Oscars’. In the end, whoever wins must pay if they want to receive a diploma and a trophy to exhibit – a 2.4-kilogram figurine costing €760. If each of the huge numbers of nominees in each of their many regions pays so much they must make a small fortune!

WHy didnt you also buy, huu ni mwaka wa 7 sasa
 
Kuna nyingine ya the cheapest tart kikwekwe atapata ya the dirtiest don' juan
Hiyo si tuzo. Ni utapeli wa wawili hawa. Ni sawa na hizo shahada zake feki. Wanajitekenya na kujikesha wenyewe. Samuya Sulubu ni mchafu kuliko kitimoto. Hata ukitumia tindikali, huwezi kumsafisha. Hawa wapigaji wamelipwa fedha na huyu mtapataji wasafishe uchafu wake.
cry more
1767656964455.png
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ambayo Tanzania imeshinda kuwa eneo bora la Utalii wa Safari Duniani (World’s Leading Safari Destination) kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji, Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar tarehe 05 Januari, 2026.
Sisi humu jukwaani tunaambiwa mama yuko Loganzila, wewe unatuambia anapokea tuzo! Hii dunia ina mbo!!
 
Back
Top Bottom