Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
una umri gani mkuu?mbona yeye hajavaa hijab ingawaje ni muslim? ukweli ni kwamba ukivaa hijab the world perceives you as unintelligent and stupid na ndiyo maana world leaderd hawamuheshgimu huo ni ukweli usipingika, intelligent world muslim leades hawavai hijab hata wa uae ...
una umri gani mkuu?
hijabu ni vazi kama mavazi mengine,mwanamke anayevaa hijab hawezi kuwa respected na world leaders, ndio maana hata hapa afrika tu akina ruto wanatudharau kila siku kwa sababu hiyo ...
Acha udini...ukweli ni kwamba ukivaa hijabu ndio unapendezambona yeye hajavaa hijab ingawaje ni muslim? ukweli ni kwamba ukivaa hijab the world perceives you as unintelligent and stupid na ndiyo maana world leaders hawamuheshimu huo ni ukweli usiopingika, intelligent world muslim leaders hawavai hijab hata wa uae ...
hijabu ni vazi kama mavazi mengine,
sasa ruto ni nani hapa east afrika? --- na cha ajabu sasa huyo ruto akifika kanisani kwake akikutana na masister anawaheshimu, tafakari
Kupendeza hilo neno lipo subjective. Mwingine atassma gigy money anavyovaa ndio kupendezaAcha udini...ukweli ni kwamba ukivaa hijabu ndio unapendeza
dunia ni nani na nani? wewe baada ya miaka 30 utakuja kusema ukiingia kwenye meeting naked unakua powerful na confident zaidiwewe na wenzako ndiyo mnaona hivyo lkn hamjui jinsi dunia inavyofikiri, ukienda kwenye negotiations na watu wakubwa na wenye power including hao arabs halafu umevaa hijab moja kwa moja wanakudharau, tofauti na ukitokea kama alivyotokea huyo raisi wa kosovo, unaonyesha presence na confindence hijab inaondoa kabisa hiyo kwanza watu hata huishia kufocus zaidi kwenye hijab yako klk hata kile unachokisema, you look stupid ...
dunia ni nani na nani? wewe baada ya miaka 30 utakuja kusema ukiingia kwenye meeting naked unakua powerful na confident zaidi
Alivyo boya Rais wako sasa anamchapia nani hizo kazi?Aendeleee kuchapa Kazi kelele za Chura hazimzuii tembo kunywa maji
Ndo Rais wako tena kwa miaka mitano huna namnaAlivyo boya Rais wako sasa anamchapia nani hizo kazi?
kabla ya blood ya innocent lives , tuliambulia kitu gani mkuu?As the world's pariah whose leadership has been secured against the oozing blood of innocent lives, she will only end up hugging the obscure leaders who have no impact on world affairs.