Kombo anavyojichekesha sasa🙆‍♂️🙆‍♂️
Sheikh Kombo muandaaji wa mapicha picha, muda wote anasubiri fursa picha zipatikane kujaribu kubadilisha ahiba ya serikali haramu dhalimu anayoitumikia
Kombo anavyojichekesha sasa🙆‍♂️🙆‍♂️
kila la kheri DR SAMIA SULUHU HASSAN KIPENZI CHA WATANZANIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
_______
#TanzaniaNaUwekezaji
#DiplomasiaYaKiuchumi
#KaziNaUtuTunasongaMbele
View attachment 3538502

Sawa, lkn usijisahaulishe kuwa Samia ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu japo hatukumchagua.mbona yeye hajavaa hijab ingawaje ni muslim? ukweli ni kwamba ukivaa hijab the world perceives you as unintelligent and stupid na ndiyo maana world leaders hawamuheshimu huo ni ukweli usiopingika, intelligent world muslim leaders hawavai hijab hata wa uae ...
Atavaa Hijab sana tu, we nuna vimba hata upasuke huna unachoweza kubadili utake usitakewewe na wenzako ndiyo mnaona hivyo lkn hamjui jinsi dunia inavyofikiri, ukienda kwenye negotiations na watu wakubwa na wenye power including hao arabs halafu umevaa hijab moja kwa moja wanakudharau, tofauti na ukitokea kama alivyotokea huyo raisi wa kosovo, unaonyesha presence na confindence hijab inaondoa kabisa hiyo kwanza watu hata huishia kufocus zaidi kwenye hijab yako klk hata kile unachokisema, you look stupid ...
Akisalimiana na rais wa Jamhuri ya Ileje utuwekee pichaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
_______
#TanzaniaNaUwekezaji
#DiplomasiaYaKiuchumi
#KaziNaUtuTunasongaMbele
View attachment 3538502
HahahaaaKombo anavyojichekesha sasa🙆‍♂️🙆‍♂️
Huna akili chuzi zako dhidi ya Uislamu zinakufanya uwe mjinga zaidi.mbona yeye hajavaa hijab ingawaje ni muslim? ukweli ni kwamba ukivaa hijab the world perceives you as unintelligent and stupid na ndiyo maana world leaders hawamuheshimu huo ni ukweli usiopingika, intelligent world muslim leaders hawavai hijab hata wa uae ...
03 February 2026
![]()
Huna akili chuzi zako dhidi ya Uislamu zinakufanya uwe mjinga zaidi.
Hijabu sio yake inakukera vipi ?
Nani kaweka Sheria hizo za kuonekana na kutoenekana stupid na kigezo kipi kinatumiwa ?
Papa mbona kila mahali akienda yupo na sare zake , yeye sio stupid ?
Mtu akiwa uchi ndio mjanja ?
Mohd wa India tushawahi kumuona kavaa suti ?
Sikuelewi.kabla ya blood ya innocent lives , tuliambulia kitu gani mkuu?
Tupe chanzo cha hii elimu mkuu ili tutoe tongo tongo!wewe na wenzako ndiyo mnaona hivyo lkn hamjui jinsi dunia inavyofikiri, ukienda kwenye negotiations na watu wakubwa na wenye power including hao arabs halafu umevaa hijab moja kwa moja wanakudharau, tofauti na ukitokea kama alivyotokea huyo raisi wa kosovo, unaonyesha presence na confindence hijab inaondoa kabisa hiyo kwanza watu hata huishia kufocus zaidi kwenye hijab yako klk hata kile unachokisema, you look stupid ...
Tupe chanzo cha hii elimu mkuu ili tutoe tongo tongo!wewe na wenzako ndiyo mnaona hivyo lkn hamjui jinsi dunia inavyofikiri, ukienda kwenye negotiations na watu wakubwa na wenye power including hao arabs halafu umevaa hijab moja kwa moja wanakudharau, tofauti na ukitokea kama alivyotokea huyo raisi wa kosovo, unaonyesha presence na confindence hijab inaondoa kabisa hiyo kwanza watu hata huishia kufocus zaidi kwenye hijab yako klk hata kile unachokisema, you look stupid ...
Tukibadili ni BRUNEI 🇧🇳Duh. Siku hizi ni mwendo wa Kosovo, Oman, Al Arabia na Mashariki ya Kati..
America na Ulaya tutakuwa tunapasikia tu kwenye Bomba.
Hii protocal ya kidiplomasia ni mpya sana,sawa, lkn mbona Kombo havai kanzu na kibarakashea kama muslim wenzake badala yake anapiga full suit with a tie? kwa nini, au unafikri Kombo hana kanzu nyumbani kwake? its all about presence, ukitaka watu wakuchukulie serious mavazi yanamata, ...
Hapo anaomba kamkopo ka kuja kuwahonga wale malobbyists wa trump ili asamehewe kupelekwa ICC.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kossovo, Mhe. Vjosa Osmani-Sadriu, kabla ya kufanya vikao na Viongozi mbalimbali pembezoni mwa mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS2026), tarehe 3 Februari, 2026 Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
_______
#TanzaniaNaUwekezaji
#DiplomasiaYaKiuchumi
#KaziNaUtuTunasongaMbele
View attachment 3538502
Kombo Ni Mjanja Mjanja, DalaliKombo anavyojichekesha sasa🙆‍♂️🙆‍♂️