Rais Samia akisalimiana na rais wa Kossovo, Vjosa Osman-Sadriu

Kuna watu ndani ya mfumo wanaendelea kumpoteza huyu na yeye wala hajui (au wote hawajui wanachofanya).

Angekuwa anajua kidogo historia asingekubali kupata photo-op na Kiongozi wa Kosovo maana historia ya Kosovo ni historia ya wahanga kama wale wa MO29. Hii siyo engagement ya kutumia kuonyesha Samia anakutana na dunia.

Ningeenda mbali zaidi na kusema kutokana na kilichotokea MO29, Samia anawakilisha taswira ya Slobodan Milošević, kiongozi wa Yugoslavia ambaye baadae alienda kushitakiwa katika mahakama ya kimataifa ikiwemo kwa matukio yaliyotokea Kosovo.
 


Na huyo wa Kosovo ni muuaji kama yeye?
 
mbona yeye hajavaa hijab ingawaje ni muslim? ukweli ni kwamba ukivaa hijab the world perceives you as unintelligent na ndiyo maana world leaders hawatuheshimu huo ni ukweli usiopingika, intelligent world muslim leaders hawavai hijab hata wa uae ...
TEC baada ya kushindwa maandamano yao wafuasi wao wamekuwa kama mahayawaniiii, yanachukia Kila muislamu
 
03 February 2026
Dubai

Photo Lourenço President of Angola with Samia Hassan

the President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, participated in high-level sideline meetings at the World Governments Summit 2026 (WGS2026) held on 3 February 2026 at Madinat Jumeirah, Dubai, United Arab Emirates.During the summit, President Samia held courtesy calls and preliminary discussions with several world leaders, including:
1.Duma Boko – President of Botswana
2.Vjosa Osmani-Sadriu – President of Kosovo –
3. Lourenço President of Angola
4.Aye Atske-Selassie – President of Ethiopia
5.Allamaye Halina – Prime Minister of Chad
6.Maitha Salem Al Shamsi – Minister of State of the UAE

This engagement highlights Tanzania’s active diplomacy amid unprecedented global participation, reinforcing international partnerships, policy coordination, and the country’s growing influence on international sphere

Photo Duma Boko – President of Botswana with Samia Hassan



 
Duma Boko – President of Botswana with Samia Hassan

Rais Duma Boko aliyechaguliwa kidemokrasia amemfanya Samia lugha yake ya mwili kujitetea ktk picha kuhusu udhalimu na dhuluma kubwa ya kihistoria 29Oktoba, iliyochafua siyo Tanzania tu bali nchi zote za ukanda wa EAC na SADC kwa mauaji ya halaiki kipindi cha uchaguzi feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…