Rais Samia akishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania, JNICC, Dar es Salaam

Rais Samia akishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania, JNICC, Dar es Salaam

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam


View: https://www.youtube.com/watch?v=Qne7eWGfD5w
WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.22.16.jpeg
WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.22.13.jpeg
WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.22.08.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2026.
WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.22.21.jpeg

WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.22.52.jpeg
WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.22.30.jpeg

WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.22.27.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Juni, 2026.
WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.23.08.jpeg
WhatsApp Image 2026-06-12 at 14.23.16.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria uzinduzi wa Kitabu cha miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaamtarehe 12 Juni, 2026.​
 
Mama please ongeza ule Mkeka wa mwisho BOT vijana nao wakalambe Asali.
 
Back
Top Bottom