Rais Samia akishiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC nchini Zimbabwe

Mbona mwenyekiti anaongea kama amechoka sana!
 
Kagame ana upuuzi mwingi kama Idd Amin Dada
Na hamuwezi kumfanya chochote,mjichanganye muingie kwenye 18 zake,hapo surprise ya ajabu tutaipata, historia ya mipaka ya kikoloni itabadilika na kuchorwa upya,new era of Tanganyika map,naomba nchi yangu na vyombo vya usalama visiingie kichwa kichwa kwenye huu mgogoro
 
Ukiangalia vizuri hapa unaona Rwanda na Burundi zilitakiwa ziwe sehemu ya Tanzania ila basi tu Nyerere sijui alichelewa nini kuwatumbukiza ndani hawa watu
 
Hana anachoweza kutufanya, ni huruma tu na kutokutaka kushadadia ya watu
 
Mzee tulia
 
Talking about attending a meeting you have zero knowledge of
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…