Rais Samia akishiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC nchini Zimbabwe

Rais Samia akishiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC nchini Zimbabwe

Matatizo ya Congo niya muda mrefu na yana maslahi makubwa kwa nchi za magharibi ambazo ndizo zinampa PK kiburi. Ushauri wangu wangu ni kuwa wanajeshi wetu waendelee ku- moonlight (kuchill) wasijipeleke front. Vita hii haina tija kwetu.
 
Ilikuwa ni ngumu kwa mwalimu,kuzifanya Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Tanzania,Kama alivyoshindwa kumshawishi Jomo kenyata kuformulate muungano wa Tanganyika na kenya
Ila Rwanda na Burundi ni sehemu ya Tanganyika ukicheck huo mchoro vizuri yaan Nyerere angecheza vizuri tu sasa hivi Tolu angekua mchunga ng'ombe
 
Matatizo ya Congo niya muda mrefu na yana maslahi makubwa kwa nchi za magharibi ambazo ndizo zinampa PK kiburi. Ushauri wangu wangu ni kuwa wanajeshi wetu waendelee ku- moonlight (kuchill) wasijipeleke front. Vita hii haina tija kwetu.
Sawa sawa shughuli hio haiwahusu wasije wakafa kibwege
 
Screenshot_20250131_181911_1_com.android.chrome.jpg

Kumbe tunatembeaga na vinywaji vyetu.
 
Naogopa kama wangesema kila mkuu w nchi amesema nn? Naogopa MNO!! Tanganyika yangu.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Ilikuwa ni ngumu kwa mwalimu,kuzifanya Rwanda na Burundi kuwa sehemu ya Tanzania,Kama alivyoshindwa kumshawishi Jomo kenyata kuformulate muungano wa Tanganyika na kenya
Lugha na desturi za kibelgiji tofauti na za waingereza isingwezekana kuungana nao
 
Matatizo ya Congo niya muda mrefu na yana maslahi makubwa kwa nchi za magharibi ambazo ndizo zinampa PK kiburi. Ushauri wangu wangu ni kuwa wanajeshi wetu waendelee ku- moonlight (kuchill) wasijipeleke front. Vita hii haina tija kwetu.
Kwenye jehi la wakongo wenyewe wanauza intel kwa adui. Ukiingia unapigwa ambush hapa inahitajika akili kubwa
 
Yaani watu wazima na akili zao eti wanasumbuliwa na kanchi kadogo tu kenye hadhi ya Mkoa mmoja wa Tanzania!
Rwanda haisumbui nchi yeyote.
Tanzania hatuhusiki na huo mgogoro.

Kama una mahaba na Congo unaweza kwenda ukajiunga binafsi na mojawapo yanvikundi vya wanamgambo wanaoiunga mkono seriikali ya Congo ukapigana upande wao. Kwa nini utake Tanzania nzima tuingie.

Congo inapakana na Congo Brazzaville ( tena ni ndugu), Angola, Zambia, Sudan kusini, Afrika ya kati, Cameron wote hao wako kimya kwanini Tanzania ijiingize, hao wengine hawafanyi biashara na Congo, hawana maslahi huko ni Tanzania oekee yenyye maslahi?
 
UN walitoa maoni kuwa kuna hatari vita ya DRC ikawa vita vya kikanda.

Naona inakwenda kutokea.
 
UN walitoa maoni kuwa kuna hatari vita ya DRC ikawa vita vya kikanda.

Naona inakwenda kutokea.
Kumbuka Rwanda Wana majeshi yao msumbiji, mnaweza kupeleka majeshi Goma halafu wao wakaibukia mtwara, au wakampa silaha Ali mbabe kufanya yake
 
Back
Top Bottom