Rais Samia akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), 22/12/2022

Rais Samia akishiriki shughuli ya kuanza kujaza maji Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), 22/12/2022

Mkuu! Tunajaza Maji katika Bwawa kwanza, kila kitu kitakaa sawa.
Ndo kitakuwa kisingizio cha matumaini hicho subiri uone, ikifika 2024 wanazalisha kidogo kuvutia cha kupigia debe uchaguzi,, then giza kama kawa haya mapaka sio ya kuamini
 
Kweli nimeamini JPM bado yupo ndani ya mioyo ya Watanzania wengi, na hili limetokea punde tu Mqmq Samia alipolitaja Jina la mwamba wa Chato km ndiye mtekelezaji wa kwanza wa uwo mradi wa bwawa la Nyerere watu wamepiga kelele sana na vifijo, na iyo ni ishara kwamba watu bado wanautambua mchango mkubwa wa hayati Jpm.
 
Nasikiz Spika Betina amesema bwawa litatumika kwenye umwagiliaji na kilimo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikiz Spika Betina amesema bwawa litatumika kwenye umwagiliaji na kilimo [emoji23][emoji23][emoji23]

Hajakosea wanaopinga wanapotosha sana kuhusu juu mradi mkubwa, una mambo mengi sana pamoja na kilimo cha umwagiliaji pia, ni sehemu ya package, …
 
Dk samia nimekubali ww ni kiboko. Kanyaga twende mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa zaidi ya miaka 7.

Tunachokijua:
 
Good, je anawadhibiti vipi wenye ranch yao Mbarali wanaoharibu ardhi oevu ya Ihefu?

Hizo familia 12 zinaonekana , zina nguvu sana kuliko watawala.
Hii ni hatua kubwa sana kwa taifa Hongera sana Rais Samia Suluhu hakika umefanya kazi ndani ya siku 643 za utawala wako umefanya kazi kubwa sana mpaka kufikia asilimia 78 kutoka asilimia 37 hakika kwa hili mama umeupiga mwingi
 
Nipe elimu,je maji yote yanajazwa kwenye bwawa au kuna BYPASS ya maji mengine kutililika bila kupitia kwenye bwawa?
Lazima kutakuwa na maji yanayoendelea. Wakizuia yote itakuwa ni skendo ya kimataifa ambayo hata Samia hataweza kuendelea kuwa raisi.
 
Hii ni hatua kubwa sana kwa taifa Hongera sana Rais Samia Suluhu hakika umefanya kazi ndani ya siku 643 za utawala wako umefanya kazi kubwa sana mpaka kufikia asilimia 78 kutoka asilimia 37 hakika kwa hili mama umeupiga mwingi
Usisahau maumivu ya mikopo, nawambia baada ya mradi huu kukamilika bei ya umeme itapaa ili ile mikopo ilipike. Najua bongolala wanaamini maneno ya waziri. Eti hakuna Mwananchi atalipa madeni,.akili mnazo au wamechukua? Kesho si leo!!
 
Back
Top Bottom