Ndo kitakuwa kisingizio cha matumaini hicho subiri uone, ikifika 2024 wanazalisha kidogo kuvutia cha kupigia debe uchaguzi,, then giza kama kawa haya mapaka sio ya kuaminiMkuu! Tunajaza Maji katika Bwawa kwanza, kila kitu kitakaa sawa.
Nipe elimu,je maji yote yanajazwa kwenye bwawa au kuna BYPASS ya maji mengine kutililika bila kupitia kwenye bwawa?Mkuu! Tunajaza Maji katika Bwawa kwanza, kila kitu kitakaa sawa.
Hili sio beseni. Ni bwawa!Litajaa leo leo au
Ova
February ana elimu ya journalism,ss uhandisi wa umeme ni kitu kingineUlitaka amuachie Injinia kama anavyofanya Awesu kule DAWASA?
Nafikiri sio gundu, ni kujitambua tu. Mambo mengine ni kujipimia tu.Hilo gundu linalomtafuta sijui mwisho wake ni nini
hahhahhhah hivi anaitwa betina 😃Nasikiz Spika Betina amesema bwawa litatumika kwenye umwagiliaji na kilimo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikiz Spika Betina amesema bwawa litatumika kwenye umwagiliaji na kilimo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni hatua kubwa sana kwa taifa Hongera sana Rais Samia Suluhu hakika umefanya kazi ndani ya siku 643 za utawala wako umefanya kazi kubwa sana mpaka kufikia asilimia 78 kutoka asilimia 37 hakika kwa hili mama umeupiga mwingiGood, je anawadhibiti vipi wenye ranch yao Mbarali wanaoharibu ardhi oevu ya Ihefu?
Hizo familia 12 zinaonekana , zina nguvu sana kuliko watawala.
Namuona waziri kakomaa na mic kuonyesha shughuli na hatua za mradi kama vile yeye ndio mtaalamu wakati ni mwanasiasa tu,aache kutafuta ujiko,hautafutwi namna hiyo
Lazima kutakuwa na maji yanayoendelea. Wakizuia yote itakuwa ni skendo ya kimataifa ambayo hata Samia hataweza kuendelea kuwa raisi.Nipe elimu,je maji yote yanajazwa kwenye bwawa au kuna BYPASS ya maji mengine kutililika bila kupitia kwenye bwawa?
Usisahau maumivu ya mikopo, nawambia baada ya mradi huu kukamilika bei ya umeme itapaa ili ile mikopo ilipike. Najua bongolala wanaamini maneno ya waziri. Eti hakuna Mwananchi atalipa madeni,.akili mnazo au wamechukua? Kesho si leo!!Hii ni hatua kubwa sana kwa taifa Hongera sana Rais Samia Suluhu hakika umefanya kazi ndani ya siku 643 za utawala wako umefanya kazi kubwa sana mpaka kufikia asilimia 78 kutoka asilimia 37 hakika kwa hili mama umeupiga mwingi