Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022
wazanzibar walikataa gesi kuwa swala la muungano ila watanganyika wamekaa kimya wazanzibar wanapotia sahihi mikataba ya gesi ya TanganyikaSwali ni lini wananchi watanufaika na utiliaji saini huu??
Maana mpaka sasa atakua ametia saini mikataba sio chini ya 50 na hatujaona wananchi wakinufaika.
Nimeuliza mpaka na majirani zangu hapa wote wanasema hivyo hivyo.
Serikali ina mkakati gani kuhakikisha kwamba kinachosainiwa kinatokea kweli na sio viini macho tu.
Nchi za Africa shida tupu.mikataba imeanza kusainiwa kianzia miaka ya 1800 lakini hadi Leo Hamna cha maana zaidi ya kunufaika mafisadi na wawekezaji uchwara tunaoaminishwa kama wawekezaje.
Sent using Jamii Forums mobile app