Rais Samia akitunuku Nishani ya Muungano na kuzindua Kitabu cha Mwalimu Nyerere, Aprili 26, 2025

Rais Samia akitunuku Nishani ya Muungano na kuzindua Kitabu cha Mwalimu Nyerere, Aprili 26, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitunuku Nishani ya Muungano na Kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo tarehe 26 Aprili, 2025.

WhatsApp Image 2025-04-26 at 16.41.49_2ae6bc21.jpg

WhatsApp Image 2025-04-26 at 16.41.54_29b7518f.jpg

WhatsApp Image 2025-04-26 at 16.41.41_54372bc5.jpg

WhatsApp Image 2025-04-26 at 16.41.39_81352f8a.jpg

Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” uliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.

WhatsApp Image 2025-04-26 at 16.41.30_38c207be.jpg

WhatsApp Image 2025-04-26 at 16.41.36_eb45750d.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.
4441.jpg

​
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitunuku Nishani ya Muungano na Kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo tarehe 26 Aprili, 2025.

View attachment 3316556
View attachment 3316557
View attachment 3316558
View attachment 3316561
Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” uliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.
​

Wanaotunukiwa wote ni Wazee. Kumbe Muungano huu ni wa kizazi cha zamani. Kizazi kipya kijipange kwa Muungano wa aina yake kama alivyoshauri TL.
 
Hiyo title haijakaa sawa, siyo kiingereza sahihi kulingana na maana iliyokusudiwa.

"Photographic Journey" siyo sawa na "Journey through Photography".
 
Ule muhimili uliotekwa juzi siuoni ukiwakilishwa huko Dodoma. Kitabu cha Mwalimu kinaonekana kuwa chambo tu lakini ....Kunatokota!!
 
Back
Top Bottom