Kawapatia chanjo ya corona mbona hamchanji?Naunga mkono hoja. Akiwezesha upatikanaji wa katiba mpya ya wananchi awe mama wa taifa, na ile ng'ombe iliyokufa kwa covid ikachimbiwa kanda ya ziwa ikumbukwe kama ng'ombe ya taifa
Mimi naamini kwamba kwa katiba hii na mamlaka ya Raisi chini ya katiba hii akiamua kuleta mabadiliko ya kweli hakuna mtu wa kuuzuia! Tuendelee kumuombea Mhe. Raisi Mama Samia Suluhu Hassan a.k.a Mama SASHA mungu azidi kumpa hekima, busara na maono ya kulitendea mema taifa lake. Mungu azidi kumpa mawazo ya kulitumikia taifa lake mambo muhimu kuliko kufikiria maslahi ya chama chake cha kisiasa, dini yake au sehemu anakotoka.Uko sahihi nilimaanisha hicho lakini wewe umelenga.
Mjane ndio hivyo tena mume wenu harudi tena labda mjaribu kuolewa na dikteta mwingine kama kagame au musevenKawapatia chanjo ya corona mbona hamchanji?
Kila kibwengo analake la kujitetea.
Luku imemshida iweje katiba?
Kwa akili za Wabongo katiba mpya itabakia kuwa on ‘wishlist’Tulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele.
Tukumbuke aliipokea nchi ikiwa na wasomi wachache, teknolojia duni kabisa, yenye miundombinu hafifu, elimu dhaifu, viwanda vichache sana, hakuna taasisi za utafiti, n.k. Aliondoka madarakani kukiwa na shule nyingi japo siyo za kutosha, mahospitali, reli, barabara, ndege, viwanda, vituo vya utafiti, n.k.
Kubwa kuliko vyote, aliwaacha Watanzania wakiwa wamoja. Wanaopingana kwa hoja na siyo kwa makabila yao, maeneo yao au dini zao.
Kwa kuzingatia hayo, tukampa cheo kikubwa kabisa cha BABA WA TAIFA.
Bila kutarajia, tumempata Rais Mama. Kaichukua nchi ikiwa kwenye dimbwi la uonevu, udhulumaji, uabuduji wa watu, ubambikiaji kesi, utekwaji wa watu, upotezwaji wa watu, ubaguzi kwa misingi ya vyama, ubambikiwaji wa kodi, na maonevu mengine mengi. Rais mwanamama, kwa yote hayo, amesema hapana. Tunachomwomba kwa sasa, asiishie tu kuyakataa na kuyazuia maovu hayo, bali aitengeneze Tanzania kwa kaisi ambacho uovu huo hautatokea tena.
Ili kuyazuia maovu hayo ya watawala dhidi ya watawaliwa, ni lazima TUPATE KATIBA MPYA INAYOJALI MASLAHI YA TAIFA KULIKO KITU KINGINE CHOCHOTE. Kama Rais Samia atawaletea Watanzania KATIBA inayoangalia zaidi maslahi ya Taifa na ya watu wake wote kwa usawa, katiba inayolinda haki na mamlaka ya wananchi, basi napendekeza apewe hadhi ya kuwa MAMA WA TAIFA.
Kuna umuhimu mkubwa sasa wa kuibadili katiba, ili tusijepata kiongozi mvunja Katiba kama Mwendazake.Tulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele.
Tukumbuke aliipokea nchi ikiwa na wasomi wachache, teknolojia duni kabisa, yenye miundombinu hafifu, elimu dhaifu, viwanda vichache sana, hakuna taasisi za utafiti, n.k. Aliondoka madarakani kukiwa na shule nyingi japo siyo za kutosha, mahospitali, reli, barabara, ndege, viwanda, vituo vya utafiti, n.k.
Kubwa kuliko vyote, aliwaacha Watanzania wakiwa wamoja. Wanaopingana kwa hoja na siyo kwa makabila yao, maeneo yao au dini zao.
Kwa kuzingatia hayo, tukampa cheo kikubwa kabisa cha BABA WA TAIFA.
Bila kutarajia, tumempata Rais Mama. Kaichukua nchi ikiwa kwenye dimbwi la uonevu, udhulumaji, uabuduji wa watu, ubambikiaji kesi, utekwaji wa watu, upotezwaji wa watu, ubaguzi kwa misingi ya vyama, ubambikiwaji wa kodi, na maonevu mengine mengi. Rais mwanamama, kwa yote hayo, amesema hapana. Tunachomwomba kwa sasa, asiishie tu kuyakataa na kuyazuia maovu hayo, bali aitengeneze Tanzania kwa kaisi ambacho uovu huo hautatokea tena.
Ili kuyazuia maovu hayo ya watawala dhidi ya watawaliwa, ni lazima TUPATE KATIBA MPYA INAYOJALI MASLAHI YA TAIFA KULIKO KITU KINGINE CHOCHOTE. Kama Rais Samia atawaletea Watanzania KATIBA inayoangalia zaidi maslahi ya Taifa na ya watu wake wote kwa usawa, katiba inayolinda haki na mamlaka ya wananchi, basi napendekeza apewe hadhi ya kuwa MAMA WA TAIFA.
Wow "a wishlist" and everything else shall remain on our wish list too; haki za binadamu - a wish, demokrasia - a wish, uhuru wa kutoa maoni - a wish.Kwa akili za Wabongo katiba mpya itabakia kuwa on ‘wishlist’
Nchi itakua na utulivu zaidi ikiendelea kuwa hiviWow "a wishlist" and everything else shall remain on our wish list too; haki za binadamu - a wish, demokrasia - a wish, uhuru wa kutoa maoni - a wish.
+ uhuru wa faragha( USHOGA)Nchi itakua na utulivu zaidi ikiendelea kuwa hivi
Umenena vema.Mimi naamini kwamba kwa katiba hii na mamlaka ya Raisi chini ya katiba hii akiamua kuleta mabadiliko ya kweli hakuna mtu wa kuuzuia! Tuendelee kumuombea Mhe. Raisi Mama Samia Suluhu Hassan a.k.a Mama SASHA mungu azidi kumpa hekima, busara na maono ya kulitendea mema taifa lake. Mungu azidi kumpa mawazo ya kulitumikia taifa lake mambo muhimu kuliko kufikiria maslahi ya chama chake cha kisiasa, dini yake au sehemu anakotoka.
Naomba nimkumbushe Mama SASHA kuwa amekabithiwa jukumu kubwa sana la kuongoza taifa kama kiongozi wa juu kabisa, Raisi JMT. Ni bahati kubwa sana na ni watu wachache sana katika nchi yeyote duniani wanaobahatika kufika hatua hii, hivyo ni jukumu lake binafsi kutengeneza legacy yake kwa ajili ya kizazi cha sasa na kizazi kijacho.
Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza! Mhe Raisi Samia Suluhu Hassan a.k.a Mama SASHA anajiuza mwenyewe kwa jinsi anavyoliongoza taifa letu la Tanzania [emoji1241] kwa sasa. Wananchi tulio wengi tumejawa na matumaini makubwa sana kutokana na uongozi wake japo ni muda mfupi tangu akabithiwe kijiti cha kuliongoza taifa. Mhe Raisi Samia Suluhu Hassan a.k.a Mama SASHA amepokewa kwa furaha na wananchi wengi kwa sababu anaonekana kwa matamshi mwenyewe kama kiongozi anayependa HAKI kwa wote, ni kiongozi anayeonekana kuelewa kwa dhati kabisa kuwa hii ni nchi yetu wote bila kujari dini zetu, vyama vyetu vya kisiasa, makabila yetu, nasaba zetu au jinsia. Ni kiongozi anayetupa matumaini kwa wananchi wake wote kwa maono yangu!
Angalizo kwa Mhe Raisi Samia Suluhu Hassan a.k.a Mama SASHA. Naomba akasome kitabu cha Hayati Raisi mstaafu Benjamin W. Mkapa. Katika kitabu chake hicho kuna sehemu anaongelea kuhusu wanasiasa wa kitanzania kwa ujumla. Anasema alikuja kugundua kuwa nchi hii ina wanasiasa wakweli wachache sana wanaoingia kwenye siasa kwa lengo la kusaidia wananchi wetu masikini. Na hii ni kwa vyama vyote, walioko chama tawala na vyama vya upinzani. Kuhusu walioko chama tawala alidokeza kuwa walio wengi wanakuja hadi maprofesa kutoka vyuo vikuu kwa tamaa ya kuja kupata ubunge na baadae uwaziri na benefits kibao zinazoambatana mafao ya kibunge. Kwa wafanyabiashara alisema, kundi hili uingia kwenye siasa kwa lengo kubwa la kulinda biashara zao maana kwa kuwa mbunge tu ni rahisi kukutana na kiongozi yoyote wa serikali na hii ni faida ya biashara zake, kupata passport zenye hadhi ya kibalozi ili kurahisisha kusafiri nje ya nchi katika shughuli zao! Kwahiyo Mhe Raisi tunaomba atambue kuwa mtu kuvaa tu shati la kijani na kujionesha kuwa yeye ni kada wa "CCM" kindakindaki haimpi mtu sifa ya kuwa mzalendo wa kweli wa nchi hii. Baadhi au niseme walio wengi utafuta hifadhi na manufaa kwani wanajua chama tawala ndio kila kitu!
Tusiitegemee CCM, tumtegemee Samia. Kwa mfumo wetu wa utawala uliopo sasa, Rais akitaka tupate katiba mpya, akitaka mchakato uanze, hata kesho, itakuwa.Katiba Mpya ndio kipimo cha juu kabisa cha uzalendo wa viongozi wa CCM kwa taifa na wananchi wanaowaongoza, kwasababu hilo ndio hitaji la kila mtanzania mpenda maendeleo kwa sasa.
Katiba mpya hawezi maana ndiyo utakuwa mwisho wa CCMTulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele.
Tukumbuke aliipokea nchi ikiwa na wasomi wachache, teknolojia duni kabisa, yenye miundombinu hafifu, elimu dhaifu, viwanda vichache sana, hakuna taasisi za utafiti, n.k. Aliondoka madarakani kukiwa na shule nyingi japo siyo za kutosha, mahospitali, reli, barabara, ndege, viwanda, vituo vya utafiti, n.k.
Kubwa kuliko vyote, aliwaacha Watanzania wakiwa wamoja. Wanaopingana kwa hoja na siyo kwa makabila yao, maeneo yao au dini zao.
Kwa kuzingatia hayo, tukampa cheo kikubwa kabisa cha BABA WA TAIFA.
Bila kutarajia, tumempata Rais Mama. Kaichukua nchi ikiwa kwenye dimbwi la uonevu, udhulumaji, uabuduji wa watu, ubambikiaji kesi, utekwaji wa watu, upotezwaji wa watu, ubaguzi kwa misingi ya vyama, ubambikiwaji wa kodi, na maonevu mengine mengi. Rais mwanamama, kwa yote hayo, amesema hapana. Tunachomwomba kwa sasa, asiishie tu kuyakataa na kuyazuia maovu hayo, bali aitengeneze Tanzania kwa kaisi ambacho uovu huo hautatokea tena.
Ili kuyazuia maovu hayo ya watawala dhidi ya watawaliwa, ni lazima TUPATE KATIBA MPYA INAYOJALI MASLAHI YA TAIFA KULIKO KITU KINGINE CHOCHOTE. Kama Rais Samia atawaletea Watanzania KATIBA inayoangalia zaidi maslahi ya Taifa na ya watu wake wote kwa usawa, katiba inayolinda haki na mamlaka ya wananchi, basi napendekeza apewe hadhi ya kuwa MAMA WA TAIFA.
Tutamkumbuka daima akituachia katiba mpya ya jaji wariobaTulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele.