Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Elimu mbalimbali.Kama Samia angekuwa na busara katika geopolitics, angetambua kwamba sasa sio wakati muafaka wa kufanya ziara ya Urusi. Hii ziara itakuwa ni Putin kamshawishi. Anatumiwa bila kutambua.
😂Fuukk Samia.
Na akitunguliwa na drone la Zelenskyy itakuwa bomba sana.
Eeeh kumbe vi hippopotumus viko vingi. Akili zote ni za kwenye majiHongera Mama kuupiga mwingi kimataifa
Muwe mnazingatia kauli za viongozi,ni juzi tu Samia alisema ni Bora kuwapa watu wa mashariki uwekezaji kwenye rasilimali maana wa magharibi hujifikiria wao tu,Ile ilikua alert kuwa tunaelekea masharikiKama Samia angekuwa na busara katika geopolitics, angetambua kwamba sasa sio wakati muafaka wa kufanya ziara ya Urusi. Hii ziara nahisi itakuwa ni Putin kamshawishi. Anatumiwa bila kutambua.
Eeeh kumbe vi hippopotumus viko vingi. Akili zote ni za kwenye majiHongera Mama kuupiga mwingi kimataifa
Maduro si alikuwa anasema hivyo hivyo. Ni upuuzi ka nchi maskini, kamejaa rushwa, kanaongozwa na wajinga wakiongozwa na Form IV ya zero eti kutaka kushindana na akili kubwa ya MagharibiMuwe mnazingatia kauli za viongozi,ni juzi tu Samia alisema ni Bora kuwapa watu wa mashariki uwekezaji kwenye rasilimali maana wa magharibi hujifikiria wao tu,Ile ilikua alert kuwa tunaelekea mashariki
Acha wivu mkuuEeeh kumbe vi hippopotumus viko vingi. Akili zote ni za kwenye maji
Na wewe unawaza kama Samia - myopically. Tunachosema hapa ni timing. Putin? Una certainty kiasi gani kwamba Putin ataendelea kuwa raisi wa Urusi in the next two years kiasi uende kutiliane sahihi mikataba ya miaka 10 ijayo? Na asipokuwapo, ukaribu na support yako kwa Putin ina-athirije uhusiano wako na atakaefuata baada ya Putin?Muwe mnazingatia kauli za viongozi,ni juzi tu Samia alisema ni Bora kuwapa watu wa mashariki uwekezaji kwenye rasilimali maana wa magharibi hujifikiria wao tu,Ile ilikua alert kuwa tunaelekea mashariki
Yaani nimuonee wivu nani!! CCM, over my dead body.Acha wivu mkuu
Magharibi Wana akili kubwa au waporaji tu?!..akili kubwa ulazimishe wanaume kuphilana!?..ufundishe watoto wa darasa la kwanza kuthombana!?Eeeh kumbe vi hippopotumus viko vingi. Akili zote ni za kwenye maji
Maduro si alikuwa anasema hivyo hivyo. Ni upuuzi ka nchi maskini, kamejaa rushwa, kanaongozwa na wajinga wakiongozwa na Form IV ya zero eti kutaka kushindana na akili kubwa ya Magharibi
Anatiliana Saini na Putin au na urusi?..huwa mnawaza nini?Na wewe unawaza kama Samia - myopically. Tunachosema hapa ni timing. Putin? Una certainty kiasi gani kwamba Putin ataendelea kuwa raisi wa Urusi in the next two years kiasi uende kutiliane sahihi mikataba ya miaka 10 ijayo? Na asipokuwapo, ukaribu na support yako kwa Putin ina-athirije uhusiano wako na atakaefuata baada ya Putin?
Hata Ramaphosa wa SA nikiwa raisi wa Tanzania nitamweka kando kwa sasa. Kuna a lot of uncertainty na uwepo wake kama raisi ndani ya miezi sita ijayo.
Kama ni kuwekeza ili kuwa-spite western countries, angeenda China basi, au North Korea
Toa hongera basi, mama anatunukiwa PHDYaani nimuonee wivu nani!! CCM, over my dead body.
Huelewi siasa za kimataifa. Mnapotiliana sahihi mkataba wa ushirikiano, haina maana mmeanza ushirikiano katika context ya liability. Ina maana umefungua tu milango ya ushirikiano kuingia specific mikataba. Raisi anaekuja anaweza kuifunga yote.Anatiliana Saini na Putin au na urusi?..huwa mnawaza nini?