Rais Samia akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya kitaifa

Rais Samia akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya kitaifa

Ndiyo kusema safari za Ulaya na Marekani itabakia kuwa ni historia.
 
1780425822570.png

Nakiri nina shauku ya kujua kama hii ndege ya ATC imevunja safari za abiria ili kumpeleka Samia Urusi, au kama ATC imepata faida kwa hii kazi.

Hivi ile ndege mpya ya Raisi kwa nini isitumike na ina range kubwa sana? Au ndio lile tatizo raisi anapofanya ziara kina shangazi, wajomba, jirani, watoto wote wanataka waende nae na wanakubaliwa lift ya bure?
 
Huelewi siasa za kimataifa. Mnapotiliana sahihi mkataba wa ushirikiano, haina maana mmeanza ushirikiano katika context ya liability. Ina maana umefungua tu milango ya ushirikiano kuingia specific mikataba. Raisi anaekuja anaweza kuifunga yote.

Yaani Putin atiliane sahihi mkataba na Samia wa ushirikiano katika ulinzi na kuuziana silaha, halafu raisi anayefuata Urusi akatae kushirikiana na Tanzania utamwambia nina mkataba tulisaini na Putin? Kama Samia ana washauri kama wewe basi sishangai tena.
Kwa hiyo mkataba aliosaini kikwete wa gas ya mtwara magu angetaka angeuvunja tu sababu wachimba gas walisaini na kikwete na si Tanzania?..tumieni vichwa vyenu vizuri
 
Na wewe unawaza kama Samia - myopically. Tunachosema hapa ni timing. Putin? Una certainty kiasi gani kwamba Putin ataendelea kuwa raisi wa Urusi in the next two years kiasi uende kutiliane sahihi mikataba ya miaka 10 ijayo? Na asipokuwapo, ukaribu na support yako kwa Putin ina-athirije uhusiano wako na atakaefuata baada ya Putin?

Hata Ramaphosa wa SA nikiwa raisi wa Tanzania nitamweka kando kwa sasa. Kuna a lot of uncertainty na uwepo wake kama raisi ndani ya miezi sita ijayo.

Kama ni kuwekeza ili kuwa-spite western countries, angeenda China basi, au North Korea
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine wa humu unaongea vitu vya kufikirila kwenye ubongo wako wa tembe ya mtama...hivi inakuwa unauaoma hu uharo unaoandila?
 
Putin mwenyewe ameenda kumpokea airport au kapokelewa na meneja wa airport?
 
Back
Top Bottom