Rais Samia akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya kitaifa

Ndiyo kusema safari za Ulaya na Marekani itabakia kuwa ni historia.
 

Nakiri nina shauku ya kujua kama hii ndege ya ATC imevunja safari za abiria ili kumpeleka Samia Urusi, au kama ATC imepata faida kwa hii kazi.

Hivi ile ndege mpya ya Raisi kwa nini isitumike na ina range kubwa sana? Au ndio lile tatizo raisi anapofanya ziara kina shangazi, wajomba, jirani, watoto wote wanataka waende nae na wanakubaliwa lift ya bure?
 
Kwa hiyo mkataba aliosaini kikwete wa gas ya mtwara magu angetaka angeuvunja tu sababu wachimba gas walisaini na kikwete na si Tanzania?..tumieni vichwa vyenu vizuri
 
Wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine wa humu unaongea vitu vya kufikirila kwenye ubongo wako wa tembe ya mtama...hivi inakuwa unauaoma hu uharo unaoandila?
 
Putin mwenyewe ameenda kumpokea airport au kapokelewa na meneja wa airport?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…