Rais Samia akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa cha Msalato, leo Oktoba 30, 2022

Rais Samia akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa cha Msalato, leo Oktoba 30, 2022

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa - Msalato, Dodoma leo tarehe 30 Oktoba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa - Msalato, Dodoma leo tarehe 30 Oktoba, 2022

Bajeti ya ujenzi ni kiasi gani? Fedha zitokanazo na vyanzo vya ndani zimetengwa kiasi gani?
Na zile zitakazotokana na mikopo ya fedha za kigeni na kutoka nje ya nchi ni kiasi gani?
"Completion time of the project" itakuwa ni lini?
Hakika kwenye kutaka kujua takwimu za "payback period" na "Internal Rate of Return" ya mradi huu itakuwa tunataka kupigana kamba sisi wenyewe.
 
Hiki kikikamilika tena wale misukule wanasema ni mungu wao kajenga
Tunasikitika tu kuwa mwenye nchi angekuwepo kingeanza kufanya kazi saa hizi.
Screenshot_20221030-160708_Chrome.jpg
 
Na jengo la abiria Mwanza nalo litupiwe macho waliohujumu mradi huu washughulikiwe wakati jitihada za kurukebisha zikifanywa. Leo mkuu wa nchi hakuutaja kabisa kati ya viwanja vinavyoboreshwa,something must be done, jiji linaadhirika. Mama okoa!
 
Msalato is too close to the city center. Kilitakiwa kijengwe at least beyond Makutupora angalau. It's location is going to cause problems soon very soon.

Msije sema hatukushauri. Yale yale ya yard ya mwendokasi Jangwani!
 
Kweli mtaalam😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom