Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ikulu - Dar

Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Ikulu - Dar

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
WhatsApp Image 2025-01-13 at 16.11.24_db3396d6.jpg

WhatsApp Image 2025-01-13 at 16.11.25_0da20e7a.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
WhatsApp Image 2025-01-13 at 16.11.21_2fc43e44.jpg

WhatsApp Image 2025-01-13 at 16.11.22_da2a6746.jpg
 
Kwahiyo saiz ikulu iko Zanzibar?

Huyo Ruth anafaa akae pale alipokaa mwiguru chemba
 
Ngoja nitafute namba ya huyo mjapani aniazime hilo gauni lake nina kazi nalo sehemu.
 
Back
Top Bottom