Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Imebidi sasa waanze kulia kulia...
Mkali hapo anajipigia deal zake kilaini kabisa...dadekiKweli hela haishindwi, imebidi wamuombe mkali aje waongee! 😁
Mkali hapo anajipigia deal zake kilaini kabisa...dadeki
Alikuwa anatishia nyau na Kasongo naye akafanya kweli.Alafu ikawaje baada ya kukutana.....??
Kitaalamu tunaita Win-Lose negotiations...Washajaa kwenye mfumo, hela waga inataka kiburi na jeuri kama hivyo!
Watu wakufuate uwape masharti yako, ndo hela inataka namna hiyo. 😊
Kile kitengo wako bize kukimbizana na wakosoaji tuKitaalamu tunaita Win-Lose negotiations...
Sisi tupoteze yeye apate...
Nawalaumu sana idara ya Intelligence ya hii nchi.
Haya mambo yalitakiwa kufanyika mapema sana.
Hata kwa akili ya kawaida walipaswa kuelewa kwanini Ruto alizungumzia Tanga kwa hali ile, wao wanang'enua tu meno utatuzi 0
Acha kabisa, wanawaza kuteka tu! Huku nchi inatekwa kiuchumi!!Kile kitengo wako bize kukimbizana na wakosoaji tu
😄
Ova
Ipo.Na,kazi kubwa waliyonayo ni kukesha baa na kutwaa wahudumu kupiga mikasi.Hivi hapa kwetu kuna idara ya ujasusi wa kiuchumi kweli?