Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
Kazi na utu, tunasonga mbeleRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Makamu wa Rais wa Dangote Group anayeshughulikia Mafuta na Gesi Bw. Edwin Devakumar pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Gilead Teri, , Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.View attachment 3589499
well done Dr Samia Suluhu Hassan,
Karibu sana Alhaji Aliko Dangote Tanzania 🐒
Siyo amruhusu, sema amuombe.Ni jammbo jema
Kama Uganda italeta mafuta ghafi Hadi Tanga basi wameuhusu Dangote ajenge kinu hapo
Kuna faida ya ajira na kupungua kwa bei ya mafuta
Hapo nimempongeza Mheshimiwa Raisi
Amruhusu tajiri kujenga kinu Cha kuchakata mafuta
Ni fulsa nzuri kuinua uchumi wa Nchi
Dangote ana akili anawachora tu. Time will tellwell done Dr Samia Suluhu Hassan,
Karibu sana Alhaji Aliko Dangote Tanzania 🐒
Ka
Kazi na utu, tunasonga mbele
Dangote anaipenda sana Tanzania,mimi binafsi nimekutana nae ana kwa ana Mtwara na tuliongea saa 2 na namfahamu vizuri sana.Mimi pia nimeishi Nigeria kwa miaka 5 na nimezaa mtoto wa kike ambae kaolewa hivi sasa.Dangote ni miongoni mwa wawekezaji tarajiwa kununua shea yangawell done Dr Samia Suluhu Hassan,
Karibu sana Alhaji Aliko Dangote Tanzania 🐒
Gentleman,Dangote ana akili anawachora tu. Time will tell
Hakuna cha kuipenda Tanzania wala nini, ni mfanyabiashara bepari tu kama wafanyabiashara wengine wanaosaka fursa za rasilimali na masoko.Dangote anaipenda sana Tanzania,mimi binafsi nimekutana nae ana kwa ana Mtwara na tuliongea saa 2 na namfahamu vizuri sana.Mimi pia nimeishi Nigeria kwa miaka 5 na nimezaa mtoto wa kike ambae kaolewa hivi sasa.Dangote ni miongoni mwa wawekezaji tarajiwa kununua shea yanga
Hii nchi inaongozwa na wafanyabiashara na wanasiasa!, ila wenye nguvu ni wafanyabiashara!, hivyo wao ndio wananguvu hawajali kuhusu hilo swala wao hata leo kikinuka wanahama chapKwa nini kusiwepo na kitengo cha kuua na kuficha kisha kikawepo kinacho dili na uchumi.
Maana kwa sasa silaha moja wapo kubwa hapa duniani ni taarifa za kiuchumi.
Ila haters wa Samia aisee, dah!!Kweli hela haishindwi, imebidi wamuombe mkali aje waongee! 😁
Pole sana hater. Mama huyoooo anasonga, mamamamamaaaeee!Viongozi wa EAC isipokuwa huyu Samia wote wanauelewa mpana wa mambo, si bure Tanzania inaimba wimbo tuna potential / fursa lakini haziwi vitendo zikakamilika chini ya serikali haramu ya utawala wa chama kongwe dola kilichoishiwa pumzi ya utekelezaji zaidi ya kusema maneno yaleyale kuwa Tanzania ki jiografia tupo na neema lakini neema hiyo haibadiliki kuwa matunda halisi ya kuvunwa ili watanzania kufaidika
Toka maktaba
14 May 2026
Kigali, Rwanda
Africans can't just be people waiting to be ripped off, we must be able to say no - President Kagame
View: https://m.youtube.com/watch?v=iDB-IjnFCOU
Tz hawapo hapo auTOKA MAKTABA :
23 April 2026
Museveni, Ruto, Dangote wakionesha uelewa wao wa kina wa fursa hii na pia umuhimu wa kuamua haraka na mapema ili mradi huu uanze kutekelezwa kwa kasi
View: https://m.youtube.com/watch?v=nkKjPMdVnLQ