Rais Samia akutana na Kadinali Rugambwa ikulu Chamwino mkoani Dodoma, 27 Agosti, 2025

HIi couple imenoga
Hii couple imenoga
 
Anataka kumununua?

Akutane na TEC

Anataka akasadiwe lobbying kwa RC?
HAPANA hataki kumnunua. Nafikiri alimwita kama Kardinali na kumwambia kuhusu mamlaka madogo waliyonayo Kanisa Katoliki na Mamlaka Makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini Kardinali ameelewa ndio maana ametoa tabasamu la kufa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…