Rais Samia akutana na Kadinali Rugambwa ikulu Chamwino mkoani Dodoma, 27 Agosti, 2025

Rais Samia akutana na Kadinali Rugambwa ikulu Chamwino mkoani Dodoma, 27 Agosti, 2025

Ila huyo mwanamama kapungua,waswahilli husema kasawajika...
 
Rugambwa ni mwanadiplomasia mkubwa sana, mama amefanya vyema kuzungumza naye.
 
Wote ni watumishi wa Mungu, mamlaka ya kiroho na mamlaka ya kiserikali, sasa Kuna shida gani viongozi wakikutana kujadili maboresho ya waumini wao?
 
Huyo Askofu hana hata mke wala watoto,kilakitu alichonacho hapo ni kitu cha kanisa,unamhusishaje na bahasa?
Kakaa Vatican na kamuwakilisha Papa sehemu nyingi duniani,hawezi kudanganywa na bahasha.
Hawezi kumnunua Cardinal huyo, Ajaribu mwingine.Maza amekaa sura ya kiuaji....Anajisikia kuua kila wakati. SAMIA STOP KILLINGS
 
ni jambo jema uzuri leo nchi nzima imekaa mkao wa kula kishindo cha cma cha mapinduzi kinasikika leo ufunguzi wa kampeni za kisiasa
 
Back
Top Bottom