johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 🙏Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la kanisa katoliki Tabora, Kardinali Protase Rugambwa, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455273
Kwa uvaaji wa Kadinali hapo mambo yanajieleza yenyewe ningeshtuka kama angeenda na vazi rasmi la KadinaliAkutane na TEC pia,,,,,
Rugambwa ni mmoja tu!
Naunga mkono hoja.Akutane na TEC pia,,,,,
Rugambwa ni mmoja tu!
Akili za nyumbu bwana, za kingese ngese tuuu!!Anataka kumununua?
Akutane na TEC
Anataka akasadiwe lobbying kwa RC?
Ni wako wewe na familia yakoMungu amjaalie hekima busara na maarifa Rais wetu Samiah Suluhu Hassain.
Usimshangae udogo wa mawazo ni kuwaza Fedha ni kila kituHuyo Askofu hana hata mke wala watoto,kilakitu alichonacho hapo ni kitu cha kanisa,unamhusishaje na bahasa?
Kakaa Vatican na kamuwakilisha Papa sehemu nyingi duniani,hawezi kudanganywa na bahasha.
Sure,,,, nadhani wanachukulia hii advantage! Uzuri TEC wanajutambua wana misimamo yao,,,,! Rugambwa kaenda yeye kama yeye, na pengine tabora yake na sio nchi (TEC)Naunga mkono hoja.
Kukutana na Rugambwa wanataka kutuonyesha kwamba TEC nao wako pamoja naye wakati ni kinyume
Mbona huyo Mungu kamcheleweshea sana hayo yote unayo mwombea!Mungu amjaalie hekima busara na maarifa Rais wetu Samiah Suluhu Hassain.
Usisumbuke sana na watu ambao wasipo tukana au kukejeli mtu hawajisiki vizuri.Huyo Askofu hana hata mke wala watoto,kilakitu alichonacho hapo ni kitu cha kanisa,unamhusishaje na bahasa?
Kakaa Vatican na kamuwakilisha Papa sehemu nyingi duniani,hawezi kudanganywa na bahasha.
Amwachilie Lissu na awaruhsu CHADEMA kushiriki uchaguzi.Mungu amjaalie hekima busara na maarifa Rais wetu Samiah Suluhu Hassain.
Samia hahitaji kulinunua kanisa la katoliki broAnataka kumununua?
Akutane na TEC
Anataka akasadiwe lobbying kwa RC?
Kuna aliye wakataza Chadema kushiriki uchaguzi?Amwachilie Lissu na awaruhsu CHADEMA kushiriki uchaguzi.
Wengi hawajui hili.Kadinali Hana sauti TEC zaidi ya Rais wa TECMuhimu zaidi ni raisi wa TEC.
Samahani, sio uchaguzi bali katazo la serikali(msajili) na mahakama ni CHADEMA kutoshiriki shughuli ZOZOTE za siasa katika nchi.Kuna aliye wakataza Chadema kushiriki uchaguzi?
Wahaya hawana msimamo na sio watu wa kuamini. Lake zone nadhani wahaya peke yao ndio hawaaminikiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la kanisa katoliki Tabora, Kardinali Protase Rugambwa, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455273