Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Nyie subirini maza anaupiga meingi mno mtashangaa vibayaTaarifa ya Ikulu:
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Kazi yako imekamilika kutuletea habari hizo my take unapoteza muda!Taarifa ya Ikulu:
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Ngoja waje wajuvi...JF haikwami Mkuu .tutajua ni lini na wapi...mwenyewe Nina kiu mno..Dr. Hosea (PhD) siku hizi ni Profesa?
Hii My take yako imekaa Kipuuzi hadi Kinafiki pia na imekuanika Kwetu kuwa Wewe ni Mtu wa Chuki, Husuda na Kisununu kwa Rais Samia, Serikali yake na Chama Tawala chake cha CCM.Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Kuna watu wakishaona mtu ana PhD tayari wanamwita ni Professor. Kuna PhD holders huko vyuo vikuu lakini bado hawajawa ma Professors.Dr. Hosea (PhD) siku hizi ni Profesa?
Mkuu mm sio mama yangu huyo,mama yangu nilisha mzika tarehe 14/8/2019,R.I.P my mama.Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Hosea ni Associate Professor wa Iringa University.Kuna watu wakishaona mtu ana PhD tayari wanamwita ni Professor. Kuna PhD holders huko vyuo vikuu lakini bado hawajawa ma Professors.
kukuza uchumi wakati taifa limeparanyika ni kazi kubwa mno, wengine wamo magelezani kesi za kisiasa, wengine uchaguzi hawataki tena, wengine wanataka katiba mpya, wengine urais 2025 wanauchungulia, wengine hawataki kuchanjwa, wengine wanahubiri wenzao kwamba chanjo si salama, wengine tozo juu - yaani taabu tupu.My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Hii My take yako imekaa Kipuuzi hadi Kinafiki pia na imekuanika Kwetu kuwa Wewe ni Mtu wa Chuki, Husuda na Kisununu kwa Rais Samia, Serikali yake na Chama Tawala chake cha CCM.
Rais msikivu mh.SSH....Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
May be, because of a Gender equity or gender equality! I am just guessing, though.Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello,
inakuwaje kuwa na chama cha wanawake tu ktk chombo cha kutoa haki?!
Hivi wewe ni mwanamke au mwanaume? Jina linaakisi mwanaume ila tabia zako ni za kike. Ufafanuzi please!Rais msikivu mh.SSH....
#KaziIendelee
Naona siku izi mbili tatu katulia Dodoma makao makuu, wenda ameamua Sasa kukaa DODOMA rasmiMhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
You cant believe a person/human being, but you can trust!Mama anapata shida sana kuendesha nchi
Alidhani akiletea watu fujo na kuwafunga basi atapata peace of mind
Kumbe ni very far from it
Ajifunze kutumia akili yake binafsi.....
Atakoma
Na Hoseah,hivi who believe this government agent?