Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

kukuza uchumi wakati taifa limeparanyika ni kazi kubwa mno, wengine wamo magelezani kesi za kisiasa, wengine uchaguzi hawataki tena, wengine wanataka katiba mpya, wengine urais 2025 wanauchungulia, wengine hawataki kuchanjwa, wengine wanahubiri wenzao kwamba chanjo si salama, wengine tozo juu - yaani taabu tupu.
Hapa ndipo hekima ya kiongozi inapopimwa. Mamlaka yanahitaji busara katika kuyatumikia.
 
TLS si waliweka msimamo kumtetea GAIDI? kwa vile TLS hawajanyambuka wanatakiwa kunyambulika ili dunia ijue TZ kuna GAIDI
 
Mama anapata shida sana kuendesha nchi

Alidhani akiletea watu fujo na kuwafunga basi atapata peace of mind

Kumbe ni very far from it

Ajifunze kutumia akili yake binafsi.....

Atakoma

Na Hoseah,hivi who believe this government agent?
Anajichanganya. Nchi ilikuwa imetangamaa baada ya kifo cha Yule Mwovu Shetani Magufuli.
 
Anajichanganya. Nchi ilikuwa imetangamaa baada ya kifo cha Yule Mwovu Shetani Magufuli.
Nchi imetulia kabisa, wanaoona nchi haijatulia ni misukule ya Gaidi ambao wamejaa mitandaoni. Ushahidi ni wale watu 10 waliojitokeza mahakamani kwa Gaidi.
 
Hii My take yako imekaa Kipuuzi hadi Kinafiki pia na imekuanika Kwetu kuwa Wewe ni Mtu wa Chuki, Husuda na Kisununu kwa Rais Samia, Serikali yake na Chama Tawala chake cha CCM.
Naona huo mstari umewagusa sana baadhi yenu, ikiwa na maana kwamba uzito wa mada yote mmeuweka kwenye ukweli huo alioweka mleta mada.
Ukweli unaoumiza sana ukiwa upande huo mnakopakia mkate wenu siagi.
 
Naona siku izi mbili tatu katulia Dodoma makao makuu, wenda ameamua Sasa kukaa DODOMA rasmi
Ni lini ww mwenyewe ama ni nani aliwahi kulalamika kwako kwamba alienda ikulu Dodoma (ofisi ya Rais) akihitaji kuhudumiwa akakosa kuhudumiwa kwa sababu za Rais kuwa anaishi ama anakaa tofauti na Dodoma? Ama ni wapi Rais alishindwa kuyatekeleza majukumu yake ya Urais kwa sababu hakuwepo Dodoma?
 
Nchi imetulia kabisa, wanaoona nchi haijatulia ni misukule ya Gaidi ambao wamejaa mitandaoni. Ushahidi ni wale watu 10 waliojitokeza mahakamani kwa Gaidi.
Magufuli mfate kama unampenda sana yuko kuzimu amebaki mafuvu tu fala yule.
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
Tunaomba updates ya kilichozungunzwa. Maana hawakuishia kusalimiana.
 
Back
Top Bottom