Rais Samia akutana na Mmiliki wa Klabu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu ya Dar leo Aprili 11, 2025

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
WhatsApp Image 2025-04-11 at 16.06.54_4ec148d0.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.

Katika mazungumzo yao Rais Dkt. Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi yake ya Six Rivers ambayo ina shughulika na masuala ya Uhifadhi, kwa namna inavyofanya vizuri katika kudhibiti muingiliano wa wanyamapori na binadamu kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).

Kupitia Taasisi yake ya Six Rivers, Sir Jim Ratcliffe amebainisha kuwa Taasisi hiyo imedhamiria kurejesha hadhi ya Hifadhi ya Taifa ya Selous na kuwa na Wanyama wakubwa katika Hifadhi hiyo.
WhatsApp Image 2025-04-11 at 16.06.56_dc6cc0df.jpg
WhatsApp Image 2025-04-11 at 16.06.55_a37f05df.jpg

WhatsApp Image 2025-04-11 at 16.06.58_e3cd8a63.jpg

WhatsApp Image 2025-04-11 at 16.06.57_697f3a7b.jpg

​
 
Kupitia Taasisi yake ya Six Rivers, Sir Jim Ratcliffe amebainisha kuwa Taasisi hiyo imedhamiria kurejesha hadhi ya Hifadhi ya Taifa ya Selous na kuwa na Wanyama wakubwa katika Hifadhi hiyo.
Hii nchi huwa tunajinadi tuna uhuru na hatutaki kuingiliwa ila ukiangalia vizuri utagundua maamuzi mengi ya maendeleo yanafanywa na wafadhili.
 
Hiyo Kawaida yetu watu wa Manchester united , huwezi kukuta vitu kama hivyo kwa kiongozi wa Arsenal aliejaaa ubahili kuendesha tu club hadi nae aweke mkeka kwenye kubet.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepata wasaha wa kuwa na mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2025.
1744389942867.jpg

Katika mazungumzo yao Rais Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi yake ya Six Rivers ambayo ina shughulika na masuala ya Uhifadhi, kwa namna inavyofanya vizuri katika kudhibiti muingiliano wa wanyamapori na binadamu kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
1744389939914.jpg

Kiukweli ni jambo zuri sana kuona namna ambavyo Sir Jim Ratcliffe kupitia taasisi yake akitoa nafasi ya msaada katika kulinda wanyamapori na mazingira ya hifadhi. Lakini nilipenda sana washauri wa Rais wangempa wazo moja ambalo lingekwenda kusaidia sana kiuchumi nchi yetu.
1744389942867.jpg

Rais Samia angepeleka ombi kwa Sir Jim Ratcliffe kuwa visiwa vya Zanzibar vimeanza kuharibiwa na wingi wa watu hivyo ingelikuwa ni jambo jema waliopo Kisiwa cha Pemba wakahamishwa kwenda Unguja ili kupisha harakati za Bwana Sir Jim Ratcliffe katika kulinda mazingira.
1744389939914.jpg

Kama tuliweza kuwatoa Ngorongoro na kuwapeleka Wamasai huko Tanga, je unadhani kuna ugumu wowote wa kuwahamisha watu kutoka Kisiwa cha Pemba wapate kwenda Unguja? Ingekuwa ni jambo la msingi sana kama Sir Jim Ratcliffe angepewa mkataba leo leo ili kuharakisha jambo hili.
 
Katika mazungumzo yao Rais Dkt. Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi yake ya Six Rivers
Niwe tu mkweli.

Hao chawa wanaopenda kuweka neno Dkt mbele ya neno Rais huwa wananikera kweli.

Hivi kuna jina au neno lenye heshima zaidi nchini zaidi ya kuwa RAIS WA NCHI?

Obama ni Profesor, Phd lakini alipoukwaa urais wa USA aliachana na kuitwa itwa Profesa au Dokta akabaki na Rais Obama ambayo ni heshima ya mwisho kisiasa na kijamii.

Anyway, kila watu na hulka zao. Kwa nchi zilizoendelea watu wake wana akili zilizoendelea. Kadhalika nchi maskini watu wake ndo wana akili maskini.

Chawa naomba mpeni Rais wetu heshima ya Rais msimjazie vitu vingine ambavyo hata akina Dokta Msukuma wanavyo. Anazo sifa za kuwa kiongoz wetu.

Hongera Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kutuwakilisha na kuitangaza nchi. Hakika ni ubunifu wa hali ya juu. Mungu akujalie Hekima
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.

Katika mazungumzo yao Rais Dkt. Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi yake ya Six Rivers ambayo ina shughulika na masuala ya Uhifadhi, kwa namna inavyofanya vizuri katika kudhibiti muingiliano wa wanyamapori na binadamu kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).

Kupitia Taasisi yake ya Six Rivers, Sir Jim Ratcliffe amebainisha kuwa Taasisi hiyo imedhamiria kurejesha hadhi ya Hifadhi ya Taifa ya Selous na kuwa na Wanyama wakubwa katika Hifadhi hiyo.
Sir James hafanyi kitu kwa BURE KAMA CHARITY NI BILLIONEA NA MFANYABIASHARA UINGEREZA HUYU MTU TUNAMLIPA NINI KAMA SIO KUMPA HIO HIFADHI IWE YAKE MILELE KAMA ZIWA LA MWANZA LINAITWA JINA LA MWANAMKE WA MAREKANI HATUNA AKILI KABISA
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepata wasaha wa kuwa na mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2025.
View attachment 3300532
Katika mazungumzo yao Rais Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi yake ya Six Rivers ambayo ina shughulika na masuala ya Uhifadhi, kwa namna inavyofanya vizuri katika kudhibiti muingiliano wa wanyamapori na binadamu kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
View attachment 3300533
Kiukweli ni jambo zuri sana kuona namna ambavyo Sir Jim Ratcliffe kupitia taasisi yake akitoa nafasi ya msaada katika kulinda wanyamapori na mazingira ya hifadhi. Lakini nilipenda sana washauri wa Rais wangempa wazo moja ambalo lingekwenda kusaidia sana kiuchumi nchi yetu.
View attachment 3300532
Rais Samia angepeleka ombi kwa Sir Jim Ratcliffe kuwa visiwa vya Zanzibar vimeanza kuharibiwa na wingi wa watu hivyo ingelikuwa ni jambo jema waliopo Kisiwa cha Pemba wakahamishwa kwenda Unguja ili kupisha harakati za Bwana Sir Jim Ratcliffe katika kulinda mazingira.
View attachment 3300533
Kama tuliweza kuwatoa Ngorongoro na kuwapeleka Wamasai huko Tanga, je unadhani kuna ugumu wowote wa kuwahamisha watu kutoka Kisiwa cha Pemba wapate kwenda Unguja? Ingekuwa ni jambo la msingi sana kama Sir Jim Ratcliffe angepewa mkataba leo leo ili kuharakisha jambo hili.
WEWE NI SLAVE HUNA HATA CHEMBE YA UTAMBUZÍ WEWE NI AFRICA IBRAHIM TRAORE ASINGEFANYA HILO KWANI MATOKEO YAKE YANAFAHAMIKA MASKINI HAFANYI BIASHARA NA BILLIONEA MILELE
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepata wasaha wa kuwa na mazungumzo na Mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2025.
View attachment 3300532
Katika mazungumzo yao Rais Samia amemshukuru Sir Jim Ratcliffe kupitia Taasisi yake ya Six Rivers ambayo ina shughulika na masuala ya Uhifadhi, kwa namna inavyofanya vizuri katika kudhibiti muingiliano wa wanyamapori na binadamu kwa kushirikiana na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI).
View attachment 3300533
Kiukweli ni jambo zuri sana kuona namna ambavyo Sir Jim Ratcliffe kupitia taasisi yake akitoa nafasi ya msaada katika kulinda wanyamapori na mazingira ya hifadhi. Lakini nilipenda sana washauri wa Rais wangempa wazo moja ambalo lingekwenda kusaidia sana kiuchumi nchi yetu.
View attachment 3300532
Rais Samia angepeleka ombi kwa Sir Jim Ratcliffe kuwa visiwa vya Zanzibar vimeanza kuharibiwa na wingi wa watu hivyo ingelikuwa ni jambo jema waliopo Kisiwa cha Pemba wakahamishwa kwenda Unguja ili kupisha harakati za Bwana Sir Jim Ratcliffe katika kulinda mazingira.
View attachment 3300533
Kama tuliweza kuwatoa Ngorongoro na kuwapeleka Wamasai huko Tanga, je unadhani kuna ugumu wowote wa kuwahamisha watu kutoka Kisiwa cha Pemba wapate kwenda Unguja? Ingekuwa ni jambo la msingi sana kama Sir Jim Ratcliffe angepewa mkataba leo leo ili kuharakisha jambo hili.
VISIWA VIMEARIBULIWA NA WINGI WA WATU🤣🤣 INAEZA IKAWA NDO UJINGA NILIOUSIKIA WIKI NZIMA
 
Back
Top Bottom