Rais Samia akutana na mratibu PEPFAR, mtendaji mkuu global fund, mwakilishi wa Marekani (diplomasia)

Rais Samia akutana na mratibu PEPFAR, mtendaji mkuu global fund, mwakilishi wa Marekani (diplomasia)

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John Nkengasong, pamoja na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Bw. Peter Sands, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni 2023.
FybDA34X0AE3daa.jpeg
FybDA34WYAAtB58.jpeg
FybDA34XgAAsPYz.jpeg
FybDnDlXsAAnyZ1.jpeg
 
Naona yuko daslam ile Ikulu ya Dodoma si waniuzie mimi tu
 
Back
Top Bottom