Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani katika mwitikio wa kupambana na Ukimwi (PEPFAR) na Mwakilishi Maalum wa Serikali ya Marekani katika masuala ya Diplomasia ya Afya Balozi Dkt. John Nkengasong, pamoja na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kimataifa la kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) Bw. Peter Sands, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni 2023.
Yaani nemcheka mpaka watu wameni sikia.Bongo kufa kwa stress unajitakia.Utasikia ameingia mkataba hospital zote za rufaa bara zinapangishwa kwa mkataba wa milele.