Rais Samia akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

Rais Samia akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
1622123472012.png
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu.

Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache kufocus na kukamilisha SGR, Bwawa la nyerere, ajira, viwanda ambavyo ndiyo hitaji la wananchi akaanze kutenga mabilioni ya fedha kwa ajili ya katiba ambayo ni hitaji la wanasiasa tu?

Mbaya zaidi wanataka mchakato wa katiba uanze upyaaaaa na siyo pale ulipoishia zamani
 
Kama hii ndio ile mahakama tulijitoa naona dalili za kurudi, sioni sababu ya kujitoa kwenye taasisi za haki kama hizi kama utawala wako hauna matatizo na wananchi wake, kujitoa kilikuwa ni kitendo kinachopigia mstari uhuni uliofanywa na mtawala aliepita kwa watu wake.
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu...
Katiba Mpya ni hitaji la msingi la watu zaidi ya hiyo SGR, kama haki za kiraia zitaendelea kuminywa hiyo SGR haitakuwa na maana yoyote, kwasababu raia hawatakuwa na amani ndani ya nchi yao.
 
Yule mshenzi alijipambanua kabisa kuwa yeye hapendi Haki hata akaitoa kabisa Nchi yetu kwenye mahakama hii!!
Mwenyezi Mungu na amuweke panapostahili!!
 
Yule mshenzi alijipambanua kabisa kuwa yeye hapendi Haki hata akaitoa kabisa Nchi yetu kwenye mahakama hii!!
Mwenyezi Mungu na amuweke panapostahili!!

Na bado alijiona eti ni mtakatifu.
 
Raisi wa mahakama ya Afrika ya haki za "binadamu na watu"! Tofauti ya binadamu na watu ni nini?
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu...
Wangeanza kwanza kubadili ya kwao ili mwenyekiti awe anakaa vipindi viwili tu uongozini.
 
27 May 2021
Dar es Salaam, Tanzania

H.E president of Tanzania Samia Suluhu Hassan meets President of African Court on Human and Peoples' Rights Hon. Justice Sylvain Ore in Dar es Salaam




The African Court on Human and Peoples’ Rights Basic Information is the judicial arm of the African Union and one of the three regional human rights courts together with the European Court of Human Rights and the Inter-American Court of Human rights.

It was established to protect the human and peoples’ rights in Africa principally through delivery of judgments. The Court has its permanent seat in Arusha, the United Republic of Tanzania.
 
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu...
Acha ujinga wewe Katiba ndio Maisha ya Watu Hiyo Sgr kama ni muhimu Nchi ina Miaka 60 kwanini hakujengwa miaka 30 nyuma
 
Mama hana kazi ya kufanya kila siku anakutana na watu muda gani anatumia kuwahudumia wananchi?
 
Raisi wa mahakama ya Afrika ya haki za "binadamu na watu"! Tofauti ya binadamu na watu ni nini?
Kwa uelewa wangu ni kuwa binadamu inasimama kwa zile haki za mtu mmoja mmoja kama haki ya kuishi (individual rights)nk
Watu inasimama kwa zile haki jumuishi kama haki ya kuheshimu utamaduni (groups rights)
 
22 May 2013

Documentary on African Court on Human and Peoples' Rights in English​


The African Court on Human and Peoples' Rights (the Court) is a continental court established by African countries to ensure protection of human and peoples' rights in Africa. It complements and reinforces the functions of the African Commission on Human and Peoples' Rights.
Source : African Court
 
Mbona kama anaogopa kukaa kwenye kiti? Anakiangalia angalia mara mbili mbili.
 
Back
Top Bottom